Released on January 23, 2020

Thumbnail

Kama sos mi ndio boss

Mi ndio worldboss

Cheki

Maria aaa

Maria, Ukiniwacha utaniumiza girl

Maria aaa

Si nilikupenda vile mi hupenda

Ki sssh sssh

Maria aaa

Nakupenda nakwambia girl

Maria aaa

Ukiniwacha utaniumiza girl

Kuna vile mi nahisi

Umenifanya mi nisinzie eee

Ni kama unanichoma

Mi nisipokuona roho ooo

Hadi nitakuja very quickly

Baby mi ukiniita weh

Kuna vile nahisi

Kwangu sio rahisi weeeh

Kuna Maria anapenda pesa (pesa)

Kuna Maria anapenda nature

Na pia kuna Maria ukimpata

Ukitaka utaipata

Hatakuwacha ukiteseka

Kila siku yako shamba utaifyeka

Vizuri tena sana ataiweka

Wangu Maria kumpata si rahisi

Si kama wale hupatikana hivi hivi

Maria mzuri ni yule unaeza mturn bibi

Maria bado anaweza kufanya uchizi

Ukimkosa kwa wiki amini usiamini

Kumpata Maria yule wako si rahisi

Maria nakueleza vile nahisi

Maria tabia si ati kingi

Chunga marafiki wengine manafiki

Tunza wako poa na niko sure

Mtakaa fiti

Maria aaa

Maria, Ukiniwacha utaniumiza girl

Maria aaa

Si nilikupenda vile mi hupenda

Ki sssh sssh

Maria aaa

Nakupenda nakwambia girl

Maria aaa

Ukiniwacha utaniumiza girl

Kuna vile mi nahisi

Umenifanya mi nisinzie eee

Ni kama unanichoma

Mi nisipokuona roho ooo

Hadi nitakuja very quickly

Baby mi ukiniita weh

Kuna vile nahisi

Kwangu sio rahisi weeeh

Cheki

I'm fine with a girl like you

Girl niko fine tu na wewe

Infact si kutake out tu

Niko serious sa will you know that

Zzero niko in love with you

Eeeh baby scream my name

Ju nataka twende far with you

No lies no limits baby

I'm fine with a girl like you

Girl niko fine tu na wewe

Infact si kutake out tu

Niko serious sa will you know that

Zzero niko in love with you

Maria aaa

Maria, Ukiniwacha utaniumiza girl

Maria aaa

Si nilikupenda vile mi hupenda

Ki sssh sssh

Maria aaa

Nakupenda nakwambia girl

Maria aaa

Ukiniwacha utaniumiza girl

Kuna vile mi nahisi

Umenifanya mi nisinzie eee

Ni kama unanichoma

Mi nisipokuona roho ooo

Hadi nitakuja very quickly

Baby mi ukiniita weh

Kuna vile nahisi

Kwangu sio rahisi weeeh