Maya

By Ze bato16

Thumbnail

Ze bato b sixteen bartmeo..........

....chorus...bartmeo

Ulinikabidhi imaya yako

Nikauweka wazi moyo kwako

Alinijua paka mama yako

Akakubali niwe mume wakooo

Nilidhani unanipenda "maya"

Umenitenda "maya"

Umetonesha kidonda "maya"

....vers ze bato16

Baby mbona umeniacha nyumbani

Kumbuka ilivosema kanisani

Me niwako uwezi kuniacha

Tatizo ni nini paka leo umeniacha

Nilikuita mamy ukaniita daddy

Sikukutamani nikakuweka ndani

Tatizo nini oh bby why me

Nikikumbuka tatizo kichwani haiingii

Uliniacha alone cheki!

Uliniona sifai eti!

Unataka watoa check!

Alafu mi uniweke bench!

......no way out......

Unamapenzi ya kweli bora ni sugn out

Usinipe maradhi kwanza we get out

Listen to me usiniite baby

Unachako humu ulikuja na bag

......chorus bartmeo again.....

....vers two ez bato16

Nimesha vumilia sana hii time na give up

Nimesha umia sana moyoni ngoja ni sign out

Mapenzi gani kila siku maajabu shida tabu

Hakuna furaha nawe ndo sababu

Kuishi bila wife daima takua first

Kila nae muamini tatizo hakuna best

Wote wako sawa wanacopy na kupaste

Siitaji wife d naitaji kurest

Mapenzu ya mbali hafifu who say never

Kwanza jifunze arifu ujekua clever

Mamilion watu wana chit tu forever

Siitaji wife mamy and daddy I say never

I hate you hii time imebidi

Bora ungekunywa pombe ila uansmoke weed

Sikutaki teana usije ghetto

Usijesababisha niingie sero

Kwako sina uruma Zaidi ya tero

.....chorus...and brg chorus.....

Outro..

Yeah! kbn star is in da bulding umezingua nimekuacha kwa makusudi

Yooo! wananiita b sixteen swax president along side bartmeo you know what am say

D touchz I see you meneja king saly and my boy tonee and I see you chollo gangsta kbn is in ......am out