Mama

By Wizzy mp

Released on October 15, 2021

Thumbnail

Intro

Maaamama jamani maaamama

Verse 1

Hatusemi vibaya kwamba mi sina baba

Maana baba sio jina ila huduma kuhudumia

Kila siku dona kooni ndio kuna kabaa

Kula rakaa moja na siku ndio inatoka

Vipi nikujibu mama

Ukinituma nibishe na bakora lawama

Ukisema unichape nikinuna nasepa

Na kula nisuse vyoote

Ulikaa na mwanao nijirekebishe

Kwangu umefanya mema mwanao nijiridhishe

Asa mimi nitakulinda kwa ngao yangu jifiche

CHorus

Ohh Nakupenda sana mamaaaa

Nani kama mama maaana

Hakuna kama mamaa hapa duniani

Ukimdharau mama saana

Bwana hutakosa radhi laana

Ohh Nakupenda sana mamaaaa

Nani kama mama maaana

Hakuna kama mamaa hapa duniani

Ukimdharau mama saana

Bibi hutakosa radhi laana

Verse 2

Nikikumbuka ya nyuma na chozi linanitoka

Ulipigana Vita mwanao sikuteseka

Maaana mengi magumu na mabaya ulinikemea

Japo huna kazi ila nguo ulinunulia

Ili nipate amani ya moyo kufurahi

Nicheze kama wenzangu maringo kujidaii

Vipi nikuseme hadharani mama huna thamani

Na langu jicho ndio wewe mboni ipo kwa ndani

Ukisema uniache mwenyewe ukungu mbele sioni

Nagonjwa langu mwenyewe presha unapata wewe

Na kumbe ng'ombe wa fukara hazaii

Nikitaka soda mama ulinipa chaiiii ninywee

Chorus

Ohh Nakupenda sana mamaaaa

Nani kama mama maaana

Hakuna kama mamaa hapa duniani

Ukimdharau mama saana

Bwana hutakosa radhi laana

Ohh Nakupenda sana mamaaaa

Nani kama mama maaana

Hakuna kama mamaa hapa duniani

Ukimdharau mama saana

Bibi hutakosa radhi laana

Intro

Huna mama ata mjomba ni mama

Kama mama na ucheze ki mamaaaa

Kama baba na ucheze ki bababaa

Huna mama ata mjomba ni mama

Kama mama na ucheze ki mamaaaa

Kama baba na ucheze ki bababa