Released on November 28, 2020

6K Views

Thumbnail

[Intro]

Mikasa leo mabunduki ndio zilikuwa zinafanya kazi

Pu! pu! pu! pu!, pu! pu! pu! pu!, si watu watakufa?

Sasa sisi, mimi mtu kama mimi sina bunduki

Kwa hivyo DCIO, DCIO akuje atusaidie

[Chorus: Domani Munga]

Si hukam na mamacho dilated, of couse utaitana

Karao alihate mabro walirelate, ju ni ma pro marijuana

Nguna ana fake accent, lakini amejaribu

Ka uko na chest pains, wacha tukujibu tunatibu wivu

Si hukam na mamacho dilated, of couse utaitana

Karao alihate mabro walirelate, ju ni ma pro marijuana

Nguna ana fake accent, lakini amejaribu

Ka uko na chest pains, wacha tukujibu tunatibu wivu

[Verse 1: SewerSydaa Mkadinali]

Napiga lap Nairobi maithaa mbaya kama helly ya Covid

Area code ni maili ya saba Android ilipeana mbogi

Kikosi haikosi kusamba panga, ukiresist kwa lobby

Shori alitaka namba amezoea kuchimba, akachimbe fossils

Yo, walifuatwa kutoka Outer wakamadwa Kagundo Road Mowlem

Early sato morning Ali alishtukia Hessy amemuoket

Spider weapon gun imported we una AK 47

Usipatwe ogopa open naskia kuna msako baada ya news ya 7

Leo tuko ndani ya kеja hatutoki, jeshi iko handas na choki

Mbleina alikulwa toja, toki, talker, coppеr na koti

Jeshi ya Kodja, hatuko Tom Mboya unless ni bigi missioni

Tourist mwenye aligongwa na hawker akatoboka madollar, sorry

Welcome to Nairobi though, chunga pori yoh

Giza kwa corridor arif aligeuziwa na morio

Android ilipigwa tapo chokoch alichumia Ladhies Road

Si uliambiwa ungafu diro, madam huku hatuko Oteto

[Chorus: Domani Munga]

Si hukam na mamacho dilated, of couse utaitana

Karao alihate mabro walirelate, ju ni ma pro marijuana

Nguna ana fake accent, lakini amejaribu

Ka uko na chest pains, wacha tukujibu tunatibu wivu

Si hukam na mamacho dilated, of couse utaitana

Karao alihate mabro walirelate, ju ni ma pro marijuana

Nguna ana fake accent, lakini amejaribu

Ka uko na chest pains, wacha tukujibu tunatibu wivu

[Verse 2: Domani Munga]

Chuom tunashinda, zimecrome na makiller

Anti-terror units wanajua Munga ni pro Man-a-Driller

Tortoise amphibian ni chura, Bonnie and Clyde ni tuvamie mashuttles

Ujue ka ulinitusi we ndo fala msee, juzi nikidandia masacco

Facebook ni free mode, usiongelelee eyebrows

Kama hujai oganga na Omo ama ujipake kimbo usiniambie about struggle

Bonga mafi na we ni wa kukuja ati umeosa kuzoza labda umemboch

Umenyonga monkey na uko lockdown mpaka umechoka

Mtaani ni gang land, ukishukiwa ni unyurie

Kuna siku Munga nilitry kutetea msee huyu ameshikiwa bure

Fuck it, pingu zililand, mi nikafungwa shoe lace

Kwa kina snitch tulibisha anadai angejisqueeze na dirisha

Ngeus alidhani tumechat tangu mchana, ananikalisha mi nashikisha

Fans KOT wanadai kuskia miracle baby alideya

This is unfair, shori alikujia kuni after ashakukula fare

Hii raha ina Corona, my suit and tie mradi koroga na different supplier

[Chorus: Domani Munga]

Si hukam na mamacho dilated, of couse utaitana

Karao alihate mabro walirelate, ju ni ma pro marijuana

Nguna ana fake accent, lakini amejaribu

Ka uko na chest pains, wacha tukujibu tunatibu wivu

Si hukam na mamacho dilated, of couse utaitana

Karao alihate mabro walirelate, ju ni ma pro marijuana

Nguna ana fake accent, lakini amejaribu

Ka uko na chest pains, wacha tukujibu tunatibu wivu

[Verse 3: Scar Mkadinali]

Pull up kwa nduthi, pa! pa! pa!, of course ni mchana

Victim alikuwaga ni mrahis' kuonekana ju anapenda fashion sana

Mi na ex-boss wangu tulishakosana, pshh, of course nilimsanya

Bro ni Samurai jack akishika panga manze ni costume hana

Si guong tumepiga tukisababisha mpaka machuja zinatupa

We umekuom na manigga ati kunitisha na mi nimekuja na msupa

Kuon na maziwa tunafanikisha nyama tunakula na mfupa

Ndom naririma jaba nashikisha pombe tunaikunywa kwa chupa

Uh, kukuja ntakuja manze na mi sitatambua

Juzi mbang'a angenisare but nilimuuliza "Malaya unanishika unanijua?"

Uliza Munga ovacado zetu ukifinya unanunua

Napuliza gunga sababu tosha nipe Mola hii sifa na dua

Vibe iko sure, hii ndo masaa ukinicall niko mteja

Hustahili kuzua mi na budako hukunywa busaa na huko Kakamega

Hii kelele iliwalemea ndo maana mliamua kuilenga

Kiterere nikiteleza na rende lazima kutesa