[Intro: Uncojingjong]
Mbogi yote deep bling, tumepiga luku fisa na madini kaa bila finyo
Tukiadisia mabling
Na minoko zote ni mangoto ka sita, big black mister, bling black mister, big pole insta, bad ka Batista
Fresh na di area, rada tukipita
Tushapiga luku kuja tukule mapicha, waanjapi
[Chorus: Uncojingjong]
Piga luku kula waanjapi, aha aha waanjapi
Piga luku kula waanjapi wa-wa-wa-wa-wa-wa-wa waanjapi
Piga luku kula waanjapi, aha aha waanjapi
Piga luku kula waanjapi wa-wa-wa-wa-wa-wa-wa waanjapi
[Verse 2: Uncojingjong]
Piga luku kula mboto jump inna dih photo-oh
Ni kama kuna joto vidole ni mangoto
Mangoto moto moto-oh kwa mkono wa kushoto
Clarks pon clarks ah mih gang fi dih shine
Mambati kwa wingi sijaomba ni za mine
Lagunya Delta ma cat ziko fine
Ka gwanda si oriji don't waste my time
[Verse 3 : Maandy]
Mi tell my man say tangu lini niparare mimi aje? Aah
Kombato usijali sanse halafu pale IG wakule update
We daily ni kaa ni Sunday maziwa mi nina kajale, aah
Luku nilipiga ngware utanipata na ingine tena afte, aah
Fine ting niko freshi thutha na majegi
Comrade huna ticki?
Kanairo utaishi aje luku nayo haitesi?
[Chorus: Uncojingjong]
Piga luku kula waanjapi, aha aha waanjapi
Piga luku kula waanjapi wa-wa-wa-wa-wa-wa-wa waanjapi
Piga luku kula waanjapi, aha aha waanjapi
Piga luku kula waanjapi wa-wa-wa-wa-wa-wa-wa waanjapi
[Verse 4: Breeder LW]
Piga luku kula wa-wa
Big baba nina mambwenya kila colour
Lola tisho, jinare na gwanda
Look fisa ju kuparara ni swara
Luku diriba shingo inamwagika silver
IG iliboo after Vera apate mimba
Umedunga nini ma-Nikе ama Adidas?
Pandisia ma-Tommy Hilfiger
Ebu smile for the camеra aha-aha
Ni safi ju ni first camera ehe ehe
Step out all white kama table salt
Mangoto mingi adi siezi kuona my fingers crossed
Uki step on my J sema "Iza"
Gikosh na Toi si Garissa
Zero-ngovo na zile Fubu za E-sir
Men I’ve been fly kabla FB na Insta, baba
[Chorus: Uncojingjong]
Piga luku kula waanjapi, aha aha waanjapi
Piga luku kula waanjapi wa-wa-wa-wa-wa-wa-wa waanjapi
Piga luku kula waanjapi, aha aha waanjapi
Piga luku kula waanjapi wa-wa-wa-wa-wa-wa-wa waanjapi
[Verse 5: Lil Maina]
Sijui ni, sijui ni, sijui ni—
Sijui ni tusker au ni pilsner hivi, aaai
Ndio inafanya naona mbili mbili
Ateke unataka nini? Aaai
Kunipenda manze hiyo ni tricky, aaai
Bila uber kuna piki piki
Halafu usitense basi take it easy, aaai
Sijui nibaki au nikuje hivi aaai
Manze nimekunoki nimechizi-chizi, aaai
Nacheki buda niko stu', aai
Tena shashamane aah aah hi ni flu, aah
Wethe na ka shash na nimedi na crew
Vile nimecladi wamepiga statue
Manjapi na mashosho buda hadi babu
Piga luku kula mboto ndio wajue iko new
Bet na madid odds kidogo Man U
Ati "What are we?" kwanza who are you? Aaai