Buda

By Trio Mio

Released on July 29, 2022

Thumbnail

[Intro: Trio Mio]

Form, manze si utuite sherehe

Leo tupige kelele raha unajipa mwenyewe

Si unichome uko na ndom

Tukiwashe tupepee

Tukate maji tulewee

We bazu cheza kama wewe

Grrrt! Ahaaa

(Stray music)


[Chorus: Trio Mio]

Buda buda buda buda

Smamisha iyo kitu, ama nikushow vile chuma inashuta

Usifanye nikutume-tenje walenje mkwanja ndula

Tupa!

Alafu nyamazisha huyo msupa

Mi nikinyambisha katanuka

Naeza kalilisha juu ya pupa

Buda!

Smamisha iyo kitu, ama nikushow vile chuma inashuta

Usifanye nikutume-tenje walenje mkwanja ndula..

Tupa!

Alafu nyamazisha huyo msupa

Mi nikinyambisha katanuka

Naeza kalilisha juu ya pupa


[Verse 1: Trio Mio]

Buda..

Show mshi wa kwako afyate, ukitry kuwa hero utashtuka!

Manduru akazipige kwa kitanda, right ya kilo itamkuta - GBV

Unadhani hizi ni vipindi za TV G?

Wangapi wako six feet deep juu ya kuthink wako quick

Wrong move naku-click click bing!

Usijifanyе champee, niko na fee...

Mjanjez, sema tu ng'wee

Buda wee si Jackie Chan, bado wee ni kijana nataka ukuwе mzee-

Mfuko uko na shigana? zitoe zote inje teke

Bazenga mzima uko na finje pekee?

Na tenje ni kabambe, unataka nikushande ya bure na nifinye senke?

Wee ni bombo nini?

Umesunda maziwa na piwa ndakupee za ubongo mbili

Alafu haka kadem kataliwa kalazwe kwa udongo chini

Sisi ndo madogo mjini, lazma utiii

Kusanya masonko weekly, baridi kwa mgongo - mpini

Rada ni mzing?


[Verse 2: Scar Mkadinali]

For real..

Broski kill hiyo pressure

Kwa hii shit si ni maprofessor

Hawabebi cash siku hizi mwambie akupee PIN ya MPESA

Oh yes nimeshajitepa, smile kwa face unaassume nacheka

Siku hizi hatuchapani ngeta, I'm reckless naeza tumia seska

Yo leta hiyo phone buda leta hiyo goro

Ndula socks na naenda na mroro

Atalia gosh akiona hiyo koro

Anaanza na balls akinyonya hiyo ***

Boss of course hiyo rende ni wrong

Utakula dust before ulete usoo

Ntadedi na itoks ama niende na mob

Before niende job lazma nibonge na God

Gai si we ni Scar miuskiza ngoma zako many times

Bitch nyamaza nyenyenye must ntakumada ata kama wee ni fan

Mwili tunawacha hapa Jeri sai

Siwezi rudi jela any time

(Gunshots) kwaheri fam

Fuck tunamjua huyu ni Jerry, gai!


[Chorus: Trio Mio]

Buda!

Smamisha iyo kitu, ama nikushow vile chuma inashuta

Usifanye nikutume-tenje walenje mkwanja ndula..

Tupa!

Alafu nyamazisha huyo msupa

Mi nikinyambisha katanuka

Naeza kalilisha juu ya pupa