Released on June 5, 2026

Thumbnail

[Intro]

Man-a-man-a-man-a

Man-a-man-a

Man-a-D

Heh

Mboka Doba

Countree Hype Music


[Chorus]

Napatanga punchline nikistone

Ni ka ni bating

Nisha ki-sanif

Nisha ki-ngati

Siko safari but na trip na ki-Barbie

Niko majani

Hallo hallo

Punchline niki stone

Ni ka ni bating

Nisha ki-sanif

Nisha ki-ngati

Siko safari but na trip na ki-Barbie

Niko majani

Hallo


[Verse 1]

Dawa ya moto ni moto, akinikulia moto namchoma (Na-mburn)

Namtandaza namuacha kwa bedi dormant

First priority itabaki kua dollar (Dollar Dollar)

F-Y-I siezi kaa na informer

Sijang'ara za loan, wanang'am hii doh

Najitafutia solo, mi ni loner (One Man)

But niko na mbogi itakusundua ukining'ora

Fully active kuna malines nachora

Underground na mahasira anaroga so anakaa mudfish

Diss zote qualified as disgusting

Tukitoka bumbrush ni after party

Tukibumburwa ilikua ni practice

Dem ndenga mamunju akitaka chuma plus stick

Dark skin lakini figure imetoka Spanish

925 shingoni, mboka tulihepa matrix

Vile anasambaza ni ka' ameivia ma tricks

Niliosha mwere soo nikageuka opp (nikageuka opp)

There's a lot, in my parking lot

Nimefanya a lot lakini siezi thubutu kurudi nyuma naogopa kugeuka salt

Naeza kuzamisha, chunga nimejaa float

Ka sina doh siezi maintain indoors

Ukinimblein na funga mambo yako, haijalishi ka tulikua close

Hii ni real lifе, mi charjie si soap

Ananifuata kama bee nilimshow ntamshikia mzinga

Reversе psychology na minya haezi ni nyima

Collabo unaeza wai ni venye nimejificha

Lyrikali ill bila tiba

Ukiona GLE East hutaniona lakini mi ndio owner

Rusha mawe baadae ukae umemeza baking soda

Ni ka' ni laana, four mbao na wai focus

Venye na ball sai ghetto wananita baller

Donga macharjie bado wananiita mkora

Mkia kwa pori ya nyuma ndio nieke mbele Mola

Nimejaza ma ex nime-explore kama Dora

I told her so nguna usinilete za u-toddler


[Chorus]

Punchline niki stone

Ni ka ni bating

Nisha ki-sanif

Nisha ki-ngati

Siko safari but na trip na ki-Barbie

Niko majani

Hallo Hallo

Punchline niki stone

Ni ka ni bating

Nisha ki-sanif

Nisha ki-ngati

Siko safari but na trip na ki-Barbie

Niko majani

Hallo