Step Sana

By Toxic Lyrikali

Thumbnail

Tunaifanya bila pressure bad man bududum keng

Adi sijaanza kuroga na kuna rapper ametense

Aliruka akituhepa fala alihang kwa fence

Chimney kuna mavitu zimekwama kwa chest

Clean boy lazima nikue well dressed

Ka reso sa ya kutoka stenje napigania belt

Saizo mothafoka feds wako well fed

Nikibare utakula ukizuba usipo ji defend

I'm cool na bado wanaingiza njeve

Absent spelekei goshodo present

Lyrikali ill positive niko tested

East again tena iko represented

Uko maziwa ju uku bei ni ng'ombe

Nonlimited atushai kama token

Mbona unangoja njora ndio utoboke

Mafala ka nyi ndo mnaleta msako shoke

Step sana mangumi ka nguo tuna vaana bishana

Knock knock knockout mchana

Tulijuana ju ya kuvurugana

Step sana mangumi ka nguo tuna vaana bishana

Knock knock knockout mchana

Tulijuana ju ya kuvurugana

Ka soshi na piga luk ganji zinatoka kwa Gram

Ndula pyam ndio angalau nisichome brand

New gun

Armed ki helping hand

Kinena activate no disturb

Lawama marashi

Leta sura walai sihati nakanyaga na mbati

Alafu laana si pati

Zile ganji tuli chai tulisaidia wazazi

Na pia tulirepent

Bado wakidigi wanastep sana

New Era heavy weight na haribu balance

New Balance kwa luk niongeze ladha

Ukiniboo unaeza kula bamba

Step sana mangumi ka nguo tuna vaana bishana

Knock knock knockout mchana

Tulijuana ju ya kuvurugana (boy boy)

Step sana mangumi ka nguo tuna vaana bishana

Knock knock knockout mchana

Tulijuana ju ya kuvurugana

Kanyagia kanyagia step sana (boy)

Mangumi ka nguo tuna vaana bishana

Knock knock knockout mchana

Tulijuana ju ya kuvurugana

Nikikam nikikam step sana

Mangumi ka nguo tuna vaana bishana

Knock knock knockout mchana

Tulijuana ju ya kuvurugana