Sick style

Tapika nika nikona nausea

Mwaka mwaki kwa kila msee atanipea ears

Ukikuja near na sijui nia nakufagilia

Si fear ju dunia hua sphere

Wana sifia doba ya kwangu ikipumua kwa Pioneer

Siezi wa carry wakidandia career

Drip kama tears za Vybz Kartel

Fisher man nimewashika kwa net

East side ukitu sue ongeza sue mbele suicide

Kiburi nishai chimba kaburi big pride

Real life ka kipindi hii side

Suicide kuthigitha E Side

Ukitu sue ongeza sue mbele suicide

Kiburi nishai chimba kaburi big pride

Real life ka kipindi hii side

Suicide kuthigitha E Side

Bare ya right

Ukizua na beast kuhusu rights

Ka chengerere ukisumbua ndio naku tight

Combined uku mkia uenda adi na line

Ju ya ngwai zimeshika ka skinny jeans

Ufiki hii ligi kama ufikiri(mistari)

Waezani so OB ndio plan B

Eliminate kama usaidi side hii usaidi side hii

Songa kando kwanza we pickney

Na attract chura yako na si meda ati dick print

Wameingia chupa ju booster alipigwa tingli

Kucheza mei niwai za kusiaga mahindi

Ni cross nikutandaze msalaba

Flat tandaza

Matendo akuna mjadala

Kill pang'ang'a ki pharmacy nimejaza madawa

So nieke na rada ukiona mambanga nadai nga da

Na kill pressure nika nikona puncture

Kaza belt ju ya chuma si sag ka diaper

Nilisha wahisia mapema hao ma viper

Kuskuma gunga pia ni ku grind grinder

Ka uezi arc io mechi na noa

Siezi ku ghost na depo mbona unagoa goa

Ki Saf naeza kuchai na bado nakuokoa

Utakojoa ukijiaribu kuroroa

Ni kipindi ju jicha aliruka na ngito kwa balcon

Hii si holy ground usivulie njei sandles

Siwaingizi mkebe si kwa box ama carton

Msako ya east yuts wako picked random

Si compete na bado akona machungu na mimi

Ju ni wa pili pili

Usilete uku mafeelings

Seki seki utasekiwa maupini

Nina jeshi nina waumini

Sick style

Tapika nika nikona nausea

Mwaka mwaki kwa kila msee atanipea ears

Ukikuja near na sijui nia nakufagilia

Si fear ju dunia hua sphere

Wana sifia doba ya kwangu ikipumua kwa Pioneer

Siezi wa carry wakidandia career

Drip kama tears za Vybz Kartel

Fisher man nimewashika kwa net

East side ukitu sue ongeza sue mbele suicide

Kiburi nishai chimba kaburi big pride

Real life ka kipindi hii side

Suicide kuthigitha E Side

Ukitu sue ongeza sue mbele suicide

Kiburi nishai chimba kaburi big pride

Real life ka kipindi hii side

Suicide kuthigitha E Side