Released on 2025

Thumbnail

[Intro]

Mmh

Mmmmh

Man a Deed

Pop Ex

Mboka Doba

Skiza


[Chorus]

Nikitembea kwa Hood

Niko na something to offer na nothing to lose

Very rude mi sijai kuwa good

Kwa hood the goon ndio hugeuzwanga food

Tension ju ya maboys in blue

Unaeza dakwa bure bure na bado uzame tu

Valia hood, washindwe kukuzoom

Kwa hood ndani ya hood nikitembea kwa hood

Nikitembea kwa


[Verse : 1]

Approach kwa umbali utadhani niko cool

Karibia karibia niku prove we ni fool

Si lazima attitude ndio nikue understood

Magazine hairudingi home full

Kwa hizi chuom wanabuya

Ndani ya kifua mbling zao zo hunijua

Dead boys we affi dead ju ya duya

Nikinukisha after nimezidi ndio utanusa

Ka lorry ya taka taka kwa highway

Sijali wengine on my own lane

Alitii after kupatiwa long cane

Ananiita T ju Lyrikali ni long name

Mostly miumuona na nguo za birthday

Nimezungukwa na magoshodo ka bonfire

Ni kitambo uskii mi nilisha expire

Nimejiaminia one man empire

Sina rada ya mbele guide me Messiah


[Chorus]

Nikitembea kwa Hood

Niko na something to offer na nothing to lose

Very rude mi sijai kuwa good

Kwa hood the goon ndio hugeuzwanga food

Tension ju ya maboys in blue

Unaeza dakwa bure bure na bado uzame tu

Valia hood, washindwe kukuzoom

Kwa hood ndani ya hood nikitembea kwa hood

Nikitembea kwa


[Verse : 2]

Na wa assume wakingoja ni wa-miss

Ngware boys akirau alarm we unasnooze

Kwa miguu na ground nimeshikilia ka root

Tulikosana sai wanadai truce mapuss

Wanaogopa polisi

Na mraia inaogopa sisi

Watuamini na sio wao pia sisi kwa sisi

Adi pretty mi sionyeshi pitty

Na move ka kipindi

Father God lakini usiniache guide me

Niko kwa giza adjust lighting

Maganji nika na fanya drug deals

Wanyongwe wakidai kunikulia ma hungry

Father God lakini usiniache guide me

Niko kwa giza adjust lighting

Maganji nika na fanya drug deals

Wanyongwe wakidai kunikulia ma hungry


[Chorus]

Nikitembea kwa Hood

Niko na something to offer na nothing to lose

Very rude mi sijai kuwa good

Kwa hood the goon ndio hugeuzwanga food

Tension ju ya maboys in blue

Unaeza dakwa bure bure na bado uzame tu

Valia hood, washindwe kukuzoom

Kwa hood ndani ya hood nikitembea kwa hood

Nikitembea kwa