Released on May 9, 2026

Thumbnail

Mboka doba

Nimemedi in silence napurura ki-loud

Sijali wakibonga bora mokoro ako proud

Ratchet kujifanya fertile utatokea ground

Shikwa na harufu ya tire andikiwa tout

Boy kutuma boy mwingine futi sita hai-count kwa mabeast

Ndio maana inaingia East un-announced

Pull-up niki pullup sidhani ntacheza foul

Niko kuthukuma sioni nikibaki ground

Labda nirudi kuwatembeleaa

Tukule mambuzi nijue mnaendelea je-a

Skwagi wa kukulea

Si we ni gwangi

Najitegemea

Mi nimevaa hate ona boy akimetameta

Narudi kuwatembelea

Tukule mambuzi nijue mnaendelea je-a

Skwagi wa kukulea

Si we ni gwangi

Najitegemea

Mi nimevaa hate ona boy akimetameta

Endelea na chuki na mi niko kwa elevator

Juu ya ganji kama fraction, numerator

Friction, mavidim mnabaki denominator

From the future nawamaliza ki-terminator

Tegea nishine, na naendelea kushine

Doo yangu multipy

Sichezi flat kaa plywood

Ndio alikuwa anadai

Si first time

Si first time ku encounter this kind

Youths wako envious for anything precious

Roho nachezea zero degrees Celsius

Fake smile mi ni gwangi namezea hio facemask

Nakosana magoshodo but niko loyal kwa gang

Sichukiii area ya kwangu na bado si ati naipenda

Naadvise si baze ya kwenda na bada nairep kwa pendant

Nikostu Unaeka chuki unajua we ni stupid [?]

Nimekaza situliz labda nibaki siendi sudi

Nimemedi in silence napurura ki-loud

Sijali wakibonga bora mokoro ako proud

Ratchet kujifanya fertile utatokea ground

Shikwa na harufu ya tire andikiwa tout

Boy kutuma boy mwingine futi sita hai-count kwa mabeast

Ndo maana inaingia East un-announced

Pull-up niki pullup sidhani ntacheza foul

Niko kuthukuma sioni nikibaki ground

Labda nirudi kuwatembeleaa

Tukule mambuzi nijue mnaendelea je-a

Sikwagi wa kukulea

Si we ni gwangi

Najitegemea

Mi nimevaa hate ona boy akimetameta

Narudi kuwatembelea

Tukule mambuzi nijue mnaendelea je-a

Sikwagi wa kukulea

Si we ni gwangi

Najitegemea

Mi nimevaa hate ona boy akimetameta

(Na mi niko kwa elevator

Juu ya ganji kama fraction

Friction

Mbaki denominator

Ki-terminator

Na naendelea kushine

Sichezi flat ka plywood

Si first time

Si first time ku encounter this kind

Ki terminator)