Glitter Freestyle

By Toxic Lyrikali

Thumbnail

Man-aTOX, mboka aah

Fala kwa hii beef hautoshi mboga

Nawagutuka ki horror

Naona ulizima hadi brain ikaformat

Akaja bless Jehovah

Ata kama umechanjwa bado nakushona

This year niko focused

Pongi haiwezi nikoroga

Sampuli ya fish ipatie water

Naitaja kwa lyrics

Huyo ni dem yako ako DMs ya mi

Okay Trisha Tuesday afternoon

Ye hutumanga boobs kwa manaT

Negotiations na nyota bleed

Cooperate before ukose ma lips

Nina jicha alisemaga mafeelings

Tulizificha sehemu ya siri

Mnaharakisha kujengea the late

Mnaharakisha mnatuacha kwa gate

Ati you are destined to be great

Babako alikupima pia anarelate

Always ghetto yut niko B.A

Kindani ndani na run insane

Hakuna msee anakuja kunisave

Chonjo tusipatane chuom late

Mi nilisha-decide

Kila kitu nafanya ni major

Flight mode niko high niko mteja

Wako on hеat hao mahater

Cool down I’m about to get bettеr

Daily dua, mi najua

Akiongoza ndo list itavai

Cheki idhaa, hakuna jua

Ni mbling kwa shingo ndo inashine

Paper chaser, not of hood

Ngata iko full, prank naichase na senke

Tulipigwa bumbrush baze

Before nipewe chain fck manjege

Utaongezwa makamasi

So usilete usoo

Huh buda songa mbele

Joy kulalia majegi za joy

Hmmh hmm

Ya dunia ni hapa hapa

Mi ndo natumwa nikuconfirmie

Ukilalisha nakuekea pause usibabaike

Niamini kukutrust labda niangamie

Kanyaga ndula ni maziwa nikukanyagie

Dhigitha Toxic kama uko na coffin

Sina cost utadhani natumia nacortics

Shoka ikikunywes kwa kisogo hio ni shocking

And there is no hand kama uko floating

Superman zii, lyrical man

Ubaya yangu si ung’am

Nani huyo ananishindaga kurap

Kimehus umesafisha

Umepatch kwa mdogo ung’am

Nani huyo anatushindaga kurun mtaro

Hadi na lifeless unazama

Shingo bright ata anashindwa kutazama

We fala unajua kuhesabu numbers

1, 2, 3, 5, 6 utazama

Nakutambua lakini

Ukinipima shonde nakubambua

Tunawapimia hewa na bado

Hatujawaziba mapua

Nashangaa na watu inengi

Wananiita bro, wananijua?

Kutrust tena ni ngumu

Natambua watu wa East si ati nazua

Mistari out of this world

Ni ka nilidunda na alien ship

Napenda doba zangu sawa

Lakini usinisunde kwa hio relationship

Alikuja home nikafanya service

Na si ya fellowship

Best friend kwa Estate

Mmmh, hmm wanaita terorrist