Euphoria

By Toxic Lyrikali

Thumbnail

Mboka Doba

Mana TOX, IC, IC, dem wicked

Sina worry worry worry worry worry

Mi ni warrior

Wanaboronja sana tukipatana

Inakuwa ni euphoria

Sijakaza na bado nawaroria

Bad mind nawakulia mashawty wao

Boronja mtandao finyiwa kwa ground

Na inabaki kuwa anonymous

No worries, worries, worries

Coz I’m a warrior

Wanaboronja sana tukipatana

Inakuwa ni Euphoria

Dim dim ni kama nimewasha hazard

Niko 1960 na bado nimeenda gwatha

Sana ju ya sanaa ya unisa

Waridhiki mi si wa kubahatisha

Ni mbuda na anajisaidia na jina yangu

Paka ya maisha na tisa na tambariza na dogi

Mana T naongeza Rick ataka ni ku wacon

Tuwarowese na moti

Na jua ni teo

Ukiulizwa ni saa ngapi chunga neck

After jua imedim tukiumana si sio friends

Mmmh sidhani ka unarelate

Kukuwa G sidhani unarelate

Sina worry worry worry worry worry

Mi ni warrior

Wanaboronja sana tukipatana

Inakuwa ni euphoria

Sijakaza na bado nawaroria

Bad mind nawakulia mashawty wao

Boronja mtandao finyiwa kwa ground

Na inabaki kuwa anonymous

No worries, worries, worries

Coz I’m a warrior

Wanaboronja sana tukipatana

Inakuwa ni Euphoria