Dumpsite

By Toxic Lyrikali

Released on February 15, 2026

Thumbnail

It's alright we ni mfupi ndio maana unalook up to me

Ground tunajua vizuri Buru ikwangi East

Saka stage upark nduthi ndio ukam tu beef

1960 ndio real usicap Marvin

Transport yenyu nimepandisia kwa ngoshi

Niwakupita tunajua ni ma moshi

Ati odi si wote tunajua nyi ni ma-soshi

Ni Addi Teacha lazima tu mngecopy

So

Kojolelea

Ngori chunga ni nani unaongelelea

Cold boy adi kwa freezer nawatokelezea

Dumpsite ma acid kuna mahali wataozea

Dumpsite

Kojolelea

Ngori chunga ni nani unaongelelea

Cold boy adi kwa freezer nawatokelezea

Dumpsite ma acid kuna mahali wataozea

Dumpsite

Tukudump vulai na tuko on site

Unajua nini kuhusu kutafuta kusurvive

Ukifagia na toja CBD nilikua na chai

Wangapi wamedunda ulizia Mike na Maasai

Ndege ya London imecrush into Jamaica

Dream ya kutoka block walibaki wakirienga

Msee wa onkada ajai pеndana na wa murenga

Vuta mbegega fala anasеpa

Mwenye atatoka omtiti wa kwanza akona jegi

Juu ya wagon na usundwe ndani ya begi

Tukiwa mathegi mlikua mnatrend mneti

Mkijifanya mapedi

Nikisumbuana na mavedi

So

Kojolelea

Ngori chunga ni nani unaongelelea

Cold boy adi kwa freezer nawatokelezea

Dumpsite ma acid kuna mahali wataozea

Dumpsite

Kojolelea

Ngori chunga ni nani unaongelelea

Cold boy adi kwa freezer nawatokelezea

Dumpsite ma acid kuna mahali wataozea

Dumpsite

Sina worry wakisakwa

Search Mothaiga kwa Google na jua ni kitu different umepata

Niko solo labda ukuje na your brothers iza

Niko hood na magoon naita my brothers

Wanajaribu ku distract career

Na izo diss track bandia

Mbato na kila msee mwenye amekuaminia

Ku dick ride kwa hii mti utadhani Zakaria (Kalia kalia)

Kojolelea

Ngori chunga ni nani unaongelelea

Cold boy adi kwa freezer nawatokelezea

Dumpsite ma acid kuna mahali wataozea

Dumpsite