Confirmation

By Toxic Lyrikali

Thumbnail

MbokaDoba!

Confirmation!

Na kama hainihusu usinimention

Kwa mafala walitushow underation

Confirmation! Confirmation!

Confirmation!

Na kama hainihusu usinimention

Kwa mafala walitushow underation

Confirmation! Confir-

Naeza piga comeback mbaya kuliko ya Nyashinski

Ju nachora vitu mbaya Ki-Leornardo Davinci

Tunaivisha track na mastingo ni mbichi

Confirmation hawaezani competition iko nichi

Naeza ku-attack tukisaka riziki

Nguvu ya kijana akili ka buda ako 60

Nishaizama ndani juu ya ngori ya resisting

Usijudge mi ni gwaash, put the blame on the system

Ati same kama fish, hatunanga reverse gear

Ukiwa kwa mic, mi hujiskiaga ka Shakespear

Fullybad, fully East na we nuh fear

Sundua mbona huyu fala akikulwa na bandia

Umbwa kali sijali nani atakaribia

Mi ndio champ nikipita ananishangilia

Vidole mbili ndani ya mbosho tukikaribia

Naeneza injili ka mhubiri wa lejo Maria

Na kama hainihusu usinimention

Kwa mafala walitushow underation

Confirmation! Confirmation!

Confirmation!

Na kama hainihusu usinimention

Kwa mafala walitushow underation

Confirmation! Confir-

Niko Kayole nafikwa na foreign land

Sipatikan, madem wawili

Ju two heads is better than one

Shoe-rack ya port nimejaza Airforcе 1

Sikurank ndo maana nakudiss ku-confirm

Haukuli yangu ka si chaji

Alafu sikutaji kama sikuhitaji

Hii keja haibadilikagi aroma ka chalice

Nahama na Bravia ya ng’ondo iko furnished

Kwa ulimi zao ka saliva tumеjaa kwa izo riba

Kwama goshodo tumejaa kwa hizo fikra

Ka ni mzing tunarusha maviding

Ka ni b#tch tunamserve na makofi ka barista

Raw, bado ngori nafanya on probation

Chana kwa mbulu jioni pia niko station

Mali nawapin so clean kama dettol

No refund, no compensation (Buda!)

Gwara gwara winch winch

Gwara winch winch

Nakula kashada mi nawauzianga nich nich

Dara dara that b#tch, dara this b#tch

Naesabu ganji kama waria wa Easich

Siwezi kuwa-Trust mmh eh niko sure

Mjini ni akili, yeah usikuje na kifua

Hakuna za bwerere labda kondiko za sure

On the wheels mi ni kadere na maji nimetambua

Cold ni kama niligrow Limuru na T-sho

Rap mboi mbele yetu haijaikuwa tisho

Wimbo imbo ziko low kama limbo

Maliza mnyonge kuwarudisha kwa dumbo

No turning back kama Misri

Na ring lakini hatukupanga na hio si deal

Najaza album mbili na ma-unreleased

Tuko ground na tunazidi kugrow kama sea

Fake mbling wamedungia kwa izo mareels

Kwaria kidi kumbe dikwara ni real

Fake mbling wamedungia kwa izo mareels

Kwaria kidi kumbe dikwara ni real

(Confirmation)

Na kama hainihusu usinimention

Kwa mafala walitushow underation

Confirmation! Confirmation!

Confirmation!

Na kama hainihusu usinimention

Kwa mafala walitushow underation

Confirmation! Confir-