Cartman

By Toxic Lyrikali

Thumbnail

Niko kwa lift ime haribika njia naeza enda ni juu

Auskii nilishapita mawingu dush

Najua we ubambika ukiskia nika naeza loose

Auskii tulishapita stage ya mamoods

Ni poa kukua na watiaji around

Atleast akifeel jealous we unafeel proud

Na ka atasnitch unamgeuza upside down

Na msumari ukutani fala unam mount

Uskai doubt

Shugli zetu azijai kuwa na clown

Napenda kua the odd one out

Sipendi kua the talk of town

Madam mwili check sura ni red card foul

Si tuko 100 wako 50

Pole kila msee alipanda sai tuko thao wako 60

Wajai grow bado hao ni maseedling

Ass licking ndio wanapenda kudu hao mapickney

We burn boyz

Atuezi kua last last

Not first na ganji fat ka Gwash man

Young and bad niite Eric Cartman

Screw you area yetu East Park

Tuna burn boyz

Atuezi kua last last

Not first na ganji fat ka Gwash man

Young and bad niite Eric Cartman

Screw you area yetu East Park

Skuizi atujui hoes na streets

Tunajua na ceiling

Ndio kudonjo ndio kuwasili

Btw niko na ndugu anaitwa Syndey

Mess one dial nakufanya non-existing

Nguna kenye unataka utapata lakini si kwangu

Team mala na sembe pizza mi uskia kwa watu

Nawasha redio napata ametuma salamu

Ni kunare na iezi zima ni ka jienamu

Amkeni mkajenge nchi

Mi na mbogi yangu tutaingia night shift

We affi stand strong

Hatutingiki

Mziki believe me mzi times sixty

Money talks na zangu zina sema ni wa cut off

She's a hoe bora alinigawia ka ameshika toes

Ako box nguna wako ye ushinda amenicall

Not a joke nilimpiga chain left kwa kikos

Cheki glock moja kinena ingine ndani ya socks

Sina roho ivo ndo jirani unidescribe kwa ma opps

Sina doh stingy ka we si wangu sitoi form

Lyrical simple staki more

We burn boyz

Atuezi kua last last

Not first na ganji fat ka Gwash man

Young and bad niite Eric Cartman

Screw you area yetu East Park

Tuna burn boyz

Atuezi kua last last

Not first na ganji fat ka Gwash man

Young and bad niite Eric Cartman

Screw you area yetu

Shawrie utoka mbali ndio anione Kimberly

Ikianzia home naanza na Charity

Marafiki wa kike ndio unitoleanga baridi

Matendo za kasisi na sura ya gaidi

Unasema we ni untouchable

Ntakushika adi maini

Na nini

Kiburi nakutulizia na pistol

Ntakueka chini amini usi amini blow dem pickinies