Bugia

By Tallie

Released on May 15, 2020

Thumbnail

Penye moshi lazima kindukulu

Penye kuku lazima wepukulu

Nimesunda ganji kwa katululu

Leo sina ndai nimekuja na kisululu

So tutado what?

So tuta ride boda

Luku safi nimepaka poda

Leo natoka loko nataka kuvuka boda

East twende west tukutane na ma oga

Kwa wanaija wa ma naira

Niko na doh me huzibank kama trya

Tallie Top Shetta si me ndio mama kaila

Ikifika wekendi si uwaka ka kaKawaida

Waiter leta waiter leta

Mbogi iko kwa njia bytheway ongeza meza

Tunaiweka tuna serereka

Leo ni kuwatesa na vako za Dictator aayy

Tunabugia bugia

Leo tuna bugia bugia

Si tunabugia bugia

Na isipo shika tunarudia rudia

Kumewaka sana wapi Backo ya maji

Leo nikushikisha jaba na washikaji

Pale katikati ati ndio kuna party

Mpaka Boy wangu gidi si ako maji maji

Kesi baadae leo tuchoma rada

Tunachoma mpaka tutatuftwe na nacada

Leo Maboy wangu wanachotwa na mamatha

Madem wenyu washachukuliwa na mafala

Me nakula hepi natupa hasara juu

Sahau shida zako na uanze kuzitoka

Life tu ni moja kukufa ni number 2

So before iishe,we anzanga kuziorder

Waiter leta waiter leta

Mbogi iko kwa njia btw ongeza meza

Tunaiweka tuna serereka

Leo ni kuwatesa na vako za Dictator aaayy

Tunabugia bugia

Leo tuna bugia bugia

Si tunabugia bugia

Na isipo shika tunarudia rudia