Kumbe

By Slimsuma

Released on January 1, 2020

Thumbnail

Chorus

Hawataki tukamate dow (skrrr skrrr)

Sie tubaki baki chini yao

Hawataki tuwe zaidi yao

Sie tubaki baki nyuma yao

>>To see you fallin'

>>kumbee

>>They wanna see you fallin'

>>kumbee

>>they wanna see you down

>>kumbee

>>they wanna see you cry.. they wanna see you cryin'

Verse. 1

>>Money x3 That's what i care bout it

>>Naitaka grammy x3 That's what i dream bout it

(skrrr skrrrr)

>>Ballin' with dawgs make a counted

>>Straight to my dream and ain't worry bout nuthin'

>>These fake niqqas hawachoki kuongea

>>Kumbe washkaji ndio masnitch yumba wapate kuongea

>>Kama kondoo vile kumbe ndani bonge la chui

>>Na ukiwa broke niqqa watu watajifanya hawakujui

>>Kila wanapokaza ndio wanangu wanapo win win

>>Bigger minds tunawaza tu ma big things

>>Palipo pesa ndio kengere inapo ring ring

>>Money paper chaser so wanangu let's win win

Chorus

>>Hawataki tukamate dow (skrrr skrrr)

>>sie tubaki baki chini yao

>>Hawataki tuwe zaidi yao

>>sie tubaki baki nyuma yao

>>To see you fallin'

>>kumbee

>>They wanna see you fallin'

>>kumbee

>>they wanna see you down

>>kumbee

>>they wanna see you cry.. they wanna see you cryin'

Verse. 2

>>Kama game ngumu..pisha njia (pisha njia men)

>>Hater me nahisi unaniskia (unaniskia men)

>>Ukitaka battle nipo here

>>Bebe ako akishoboka naimwagia (F**K F**K)

>>Mungu ana bless we made it

>>We make money and spend it

>>Niqqa u gotta be kiddin'

>>Cause now you fuck with a trapp king

>>Sitaki wana kibao ambao ukiyumba wanaanza ku fake

>>Wanangu wa kweli n real ndio maana unaniona sinaga new friend

>>Kitaani balaa lakini machiz tunakula vitu kinoma

>>Nataka buggati na hustle kitaa wanangu kiufupi mtakoma

>>Sitaki bebe yenye shobo mingi nataka moja niweke

>>Wanangu wanangu wanao wanao kwa story zenu msiniweke