Go Down

By Skykim

Released on November 28, 2017

Thumbnail

[Intro]

Awe, Awe

Goooo Down (Baby you go)

Baby you gooo down (baby you go)

Nishakupenda Coooome down


[Verse 1]

Penda ku'moyo, Tatizo mchoyo

Dunia haina tomorrow, Mtoto shororo

Ni wa moto na sio kiporo

Ana ngozi nyororo

Anasiki kwa jero, Wala kwa tero

Kitandani ni chali kwa dolo

Mahipsi ana bonge la ng'ombe na wowo

Hizo lips usiombe akanyonya hiyo jojo

Sio mnunaji anapenda kucheka lakini

Anapenda ulenge 90

Anapenda kudeka nami

Namdekeza nikitema madini

Anapenda misifa, Haonagi masoo

Nami namwita, Huku

Nikiwika jogoo

Uwanjani Nikipa, Nafunga magoal

Anatembea akilinga, Kwa mwendo wa jongoo

Na... Ananichezesha chezesha mi

Ananidekeza dekeza mi

Anajilegeza akiwa nami

Nami nachombeza ielewe jamii

Naomba kwa mora, Nisipate hasara kwa we

Nasaka ma Dollar, Nisilale na njaa nawe

Kitalia king'ora, Ni ndoa nifunge nawe

Nishakoki bastora, Hakuna mwingine ni mimi nawe

Hey...! Boy mimi najiweza

Achakukaza legeza

Penzi cha kwanza ni pesa

Najua my baby unapenda kutesa

Nishatupia na wewe pendeza

(Pendeza)

You talk about my shit shit

Namdatisha mpaka anasizi

She loves me cuz she see it

Shimo uchafu toa kwa jiti

Ligi la ndiz

Hey...! She-she-she love me

She-she-she touch me

She-she-she date with me

She-she-she need me

She-she-she kiss me

She-she-she suck me

(She-she-she suck it...)


[Hook]

Goooo go Down (Baby you go)

Goooo go Down (Baby you go)

Baby you go down (aweee)

Baby you go down (awe)

Baby you go down (aweee)

Baby you go down (awe)


[Verse 2]

Hey...!

Nothing to say

Masifa ni kem'kem

Ila bado uongeii

I'm on the way

Na sina ma dame dame

Na sito delay

Hey...!

Hakuna mwingine ni mimi na wewe Tumuombe sir God maisha marefu mazuri tupewe

Fanya mazuri fulani nilewe nichizike kabisa Nipagawe nipate na nguvu ya kusaka uwele upendeze ukasuke za kwako hizo nywere

(Hizo nywere...)

Sikuachi usiku na kokoriko

Nakula matandu na ukoko ulipo

Nakulinda kama cops na people

Nipe vyote nisahau punyeto

Nimenakiri (kiri)

Ukitaka nilipe na bill (bill)

Usibadili (dili)

Style ziwe zote usisahau ile 1 na 2 (mbili)

Mama nitilie usisahau na pili pili

Nipe nipe usiwe bahili ah!

Ooozaaah

Vya moto pooozaaaah

Ushachokoza

Nikipiga sisahau kukoza

Mzuka ukipanda wewe ruka tereza

Kimasai ile Rrrraaah

Ana nichezesha chezesha mi

Ana nidekeza dekeza mi

Ana jilegeza akiwa nami

Nami nachombeza ielewe jamii

Ngiyakuthanda we dada wee

Kea ho rata we mama wee

Nakupenda we manzi wee

Ahh! I love you my baby weeeh


[Hook]

Goooo go Down (Baby you go)

Goooo go Down (Baby you go)

Baby you go down (aweee)

Baby you go down (awe)

Baby you go down (aweee)

Baby you go down (awe)