Commando

By Sarcabi

Released on October 10, 2020

Thumbnail

Sarcabi

Mali imekubali yes bana

Imeshika tu vitight kispana

Imeniweza mpaka buda naitana

Leo ni leo nayo nayo twapambana

Aaaaahh...Ahh...

Hii sio mali ya uma

Combination ya dhahabu na chuma

Doo...

Nanyenyekea kama kondoo

Lakini time ikifika mi ni comma

...

Mi ni commando

Yoh niaje? Uko fiti?

Umechill for a while uko busy?

Naeza kam through, tufanye one two

Nikam na mavella ama drinks ivi?

Hatujabonga for a week hivi

Ju skuizi ata maform hazikupiti

Si ma crop top, si ma keke

Insta daily unapost kama fifty

Baadaye nadungiwa kareply

Emoji moja mbili ameshindwa kudecide

Ati budake ni pai

Na hapendi story za maguys

So nifike pale before nine

Mali iko fiti, drive kama chizi

Speed ya 150 gizane

Rada iko fiti, rada iko safi

Mimi niko pale niko ndane

Mali imekubali yes bana

Imeshika tu vitight kispana

Imeniweza mpaka buda naitana

Leo ni lеo nayo nayo twapambana

Aaaaahh...Ahh...

Hii sio mali ya uma

Combination ya dhahabu na chuma

Doo...

Nanyenyekea kama kondoo

Lakini timе ikifika mi ni comandoo

Bazenga bazu bazu

Mi ni comandoo

Bazenga bazu bazu

Kama commando

Bazenga bazu bazu

Mi ni comandoo

Bazenga bazu bazu

Kama commando

Knock knock, nimefika

Iko wazi, ananiita

Amepause anapiga mapicha

Amejiseti tu kwa pose flani inaniita

Ako ready, tunaseti

Tunawai one, two, tunamedi

Hapa ndani kumeshikana videadly

Slow pace tunapelekana steady

Ahh...

Kuna gari kwa gate na ni mapema ata escape plan sijapanga

Alifaa kufika late, itabidi nimehepa, hii ni ngori tumeblanda

Sneak kama mwizi, drive kama chizi

Speed ya 150 gizane

Rada iko fiti, plan ya kila wiki

Mimi niko pale niko ndane

Form ya weekendi imeiva

Combi ya bazenga na diva

Dem mwitu ni magrip tu

Akijipa kila time namaliza

Roll kama peddi tu karizler

Maweekend maforeplay mateazer

Dem mwitu, ananidoo

Ananimhh

Na malips juu

Mali imekubali yes bana

Imeshika tu vitight kispana

Imeniweza mpaka buda naitana

Leo ni leo nayo nayo twapambana

Aaaaahh...Ahh...

Hii sio mali ya uma

Combination ya dhahabu na chuma

Doo...

Nanyenyekea kama kondoo

Lakini time ikifika mi ni comandoo

Bazenga bazu bazu

Mi ni comandoo

Bazenga bazu bazu

Kama commando

Bazenga bazu bazu

Mi ni comandoo

Bazenga bazu bazu

Kama commando