Niwaze

By Ruby (Tz)

Thumbnail

[Intro]

(?)

Hey, hey

Hey, hey, aye

《Yogo on the beats》


[Verse 1: Ruby]

Mmh

Unasema unanipenda una ngapi?

Ha!

Vile uliniambia unaishi wapi?

Pesa huna 'una magari mangapi?

We yako mapozi 'sa nikupeleke wapi?

Basi imba nisikie pengine utanivutia

Cheza kidogo

Oooh

Imba nisikie pengine utanivutia

Aaah

Imba kidogo


[Chorus]

Hey, (Hey)

Hey

Acha niwaze (Niwaze)

Acha nikufukirie (Niwaze)

Acha niwaze (Niwaze)

Oooh (Niwaze)

Acha niwaze (Niwaze)

Acha nikufukirie (Niwaze)

Acha niwaze (Niwaze)

Ni lipi niamue Eeh

(Niwaze)


[Verse 2]

Kitambo 'sina mkwanja unajua

Yaani kama mgambo gwanda langu sijavua

Aah

Umapepе nishatupa kule kule

Tangu enzi za shulе kule

Vicheche nishatupa kule kule

...Aaah


[Hook]

Nimekuchagua we 'uwe wangu unisikize

Wa milele tafadhali usiniumize


[Chorus]

Hey

Acha niwaze (Niwaze)

Acha nikufukirie (Niwaze)

Acha niwaze (Niwaze)

Oooh (Niwaze)

Acha niwaze (Niwaze)

Acha nikufukirie (Niwaze)

Acha niwaze (Niwaze)

Ni lipi niamue Eeh

(Niwaze)

...


[Verse 3]

Uuuh, woah, woah

Ah 'mi hata japo nikikujua jina kwangu sawa

Ah 'ila usizidishe ukaja nitoa dinner ntapagawa

Mi mwenzako uvumilivu sina, we haya

Ntakuganda kama ruba niwe wako chawa

...Aah

Kweli mapenzi nnayo 'pesa na mali sina

Ila ni maisha yapitayo

Kesho nitakuwa na jina, ujivunie


[Hook]

Wema umepitiliza

Mungu kakubariki I say...

Sijaona bae kama we 'haki ya nani, I say...


[Chorus]

Hey

Acha niwaze (Niwaze)

Acha nikufukirie (Niwaze)

Acha niwaze (Niwaze)

Oooh (Niwaze)

Acha niwaze (Niwaze)

Acha nikufukirie (Niwaze)

Acha niwaze (Niwaze)

Ni lipi niamue Eeh

(Niwaze)


[Outro: Ruby]

Basi imba nisikie pengine utanivutia

Cheza kidogo Oooh

Imba nisikie pengine utanivutia Aaah

Imba kidogo

Hey, hey