Released on February 1, 2021

Thumbnail

Ayi ye yoh

Ayi ye yoh

Ayi ye yoh, unalewa leo si tulilewa zamani

Ayi ye yoh

Ayi ye yoh

Ayi ye yoh, unahonga leo si tulihonga zamani

Ayi ye yoh

Ayi ye yoh

Ayi ye yoh, unadanga leo si tulidanga zamani

Unaringia picha zenye filter ya huko Insta

Zamani si tulitisha mwendo wa kiko hakuna shisha

Shepu zakushikika kitu O.G. ugali muchicha

Leo munatingisha kimbe wachina wamejazisha

Zamani tulihonga bangili (ayah), pini masikioni (ayah)

Leo mumebadili mnahonga na Iphone

Vijana wengi wazembe wengi waongo chumbani butu

Wazee wa mundende mara mukongo, alkasusi

Zamani si ndio majembe tena vibongo wachinja kuku

Chumbani kimbembe mechi ya ndondo hatoki mutu

Ayi ye yoh

Ayi ye yoh

Ayi ye yoh, unalewa leo si tulilewa zamani

Ayi ye yoh

Ayi ye yoh

Ayi ye yoh, unahonga leo si tulihonga zamani

Ayi ye yoh

Ayi ye yoh

Ayi ye yoh, una-cheat leo si tuli-cheat zamani

Mhh, enzi zetu kupendeza haugusi

Suti rangi kifuu na shingoni kamjusi

Kwenye nywele za zuu, nna moka za Urusi

Mhh, kishoka kwa juu na kigazeti cha uzushi

Zamani kuwahi kazi sio mwendo kasi unapanda U.D.A

Kwa mwenye nazo ni taxi sio ku-request mambo ya Uber

Wadada zamani kazi kazi hawalewi bia leo kesho

Sikuhizi vichwa panzi bia mbili kashafika geto

Zamani ni tofauti na leo

Hadi ng'ombe maradufu ndio anakuwa mkeo

Zamani ni tofauti na leo

Ukitoa chipsi kuku analegeza komeo