Wasi Wasi

By Rayvanny

Released on September 1, 2018

Thumbnail

Heyy...

Hmm heyy heyy...

Mmhmhmmm...


[Verse 1]

Upepo mwanana

Nawe upo kifuani mwangu

Jua likizama

Mikono salama

Karibu kwenye moyo wangu

Mi baba uwe mama, aah...

Zima taa washa mishumaa

Nilishe kama na njaaaa, aah...

Kila dakika kila masaa

Palilia penzi litasinya, aah...


[Pre Chorus]

Sura yako macho yako

Upole wa mama yako

We chaguo langu

Mama aah

Taswira yangu picha yako

Moyo wangu mali yako

We chaguo langu

Mama aah


[Chorus]

Wasiwasi

Mwenzako sina

Maana niko na wewe

Wasiwasi

Tunza heshima

Niwe na ww milele

Wasiwasi

Uko na mm usiwe na

Wasiwasi

Uniaminiii

Usiwe na wasiwasi


[Verse 2]

Ntakuganda ruba

Pua na leso tufatane

Mahabuba

Tuwe mapacha tufanane

Wenye husuda wakiroga tutengane

Ongeza rutuba

Nije na pete tuoane

Supu chukuchuku

Miguu ya vikuku

Ayy

Utaua ehh

Utaua ehh

Na haya manusunusu

Ukinibusubusu

Ayy

Maua ehh

Maua ehh


[Pre Chorus]

Sura yako macho yako

Upole wa mama yako

We chaguo langu

Mama aah

Taswira yangu picha yako

Moyo wangu mali yako

We chaguo langu

Mama aah


[Chorus]

Wasiwasi

Mwenzako sina

Maana niko na wewe

Wasiwasi

Tunza heshima

Niwe na ww milele

Wasiwasi

Ehhhh

Uko na mm usiwe na

Wasiwasi

Uniaminiii

Usiwe na wasiwasi