Released on February 1, 2021

Thumbnail

Eti nilemwita my queen eminado

Leo kashika njia

Aloyafanya mi simanzi

Nishachoka kulia

Nipe Panadol changanya Chloroquine

Madawa yote jazia

Sumu ya panya wapi kitanzi

Nishachoka dunia

Aliniahidi

Nitakuwa wake kufa na kuzikana

Kigoma kwa bibi

Ngala mukunze na tukapelekana

Tena akanifariji

Eti anafanya mipango tuanze kuona

Kumbe muongo! Alinidanganya kanifanya cartoon

Kumbe muongo! Hadi safari za akasema salimi

Kumbe muongo! Hawakutosheka chumbani wakafanya bafuni

Kumbe muongo! Aliyoyafanya leo kwangu huzuni najuta mie

Waongo wao! Yaani waongo wao

Waongo wao, waongo wao

Tena Waongo wao, waongo wao

Waongo wao! Yaani waongo wao

Waongo wao, waongo wao

Tena Waongo wao, waongo wao

Wengi mnapenda sura

Shepu mibinuko

Wakati hamna kitu kwa mifuko

Vimba kama puto kuringia uso

Kijana jua kuna babu yupo

Anahudumia, anagharamia

Kodi ya nyumba anamlipia

Na furniture pia kamnunulia

Ipo siku utaikalia

Macho kwenye pesa

Macho kwenye noti

Macho sio kwa handsome

Macho ni kwa bosi

Chat za Whatsapp hizo ni namba za mashosti

Ukitaka ufe cheki namba za kitosi

Shevu fundi wa heleni kumbe fundi wa mkoleni

Fundi wa mafundi yaani fundi miuno feni

Ana fundi mikocheni ana fundi magomeni

Ila fundi wa manzese humfikisha kileleni

Wakilia wana machozi bandia

Macho funika pazia

Msishangae mikia

Mtaumia vijana

Waongo wao! Yaani waongo wao

Waongo wao, waongo wao

Tena Waongo wao, waongo wao

Waongo wao! Yaani waongo wao

Waongo wao, waongo wao

Tena Waongo wao, waongo wao

Waongo wao! Yaani waongo wao

Waongo wao, waongo wao

Tena Waongo wao, waongo wao

Waongo wao! Yaani waongo wao

Waongo wao, waongo wao

Tena Waongo wao, waongo wao