Released on November 15, 2022

Thumbnail

[Intro]

Uuh aih mama

Jamani mbona we mzuri hvyo


[Verse 1]

Rangi ya chungwa mama chocolate

Viuno tanga manza bei

Black beaut ulosimama

Una nywele shombeshombe

Zanzibar cheichei

Umejaliwa nyama na huo mguu

Haki mungu hakosei

Mpka nikuone ndo nafanya

Usiwe na wasi mama wala mi sikuchezei

Najionea wivuu kukupata wewe my boo

Tabibuu dozi nipe tatatibuu


[Chorus]

Uuh aiih mama

Jamani mbona we mzuri hvyo

Uuh aiih mama

Unavyoringa sasa sio shida zako hizo

Uuh aiih mama

Jamani mbona we mzuri hvyo

Uuh aiih mama

Nakusifia ringa vimba kichwa kapulizo


[Refrain]

Ukicheza (mzuri mzuri)

Ukinuna (mzuri mzuri)

Ukiringa (mzuri mzuri)

Ata ukilia mzuri (ni mzuri tu)


[Verse 2]

Unasura ya kunywea winne

(Sura ya kunywea chai)

Uko soft una shine

(Camera haikukatai)

Unawakomesha shwaini

Levo zako hawakai

Wataiweza wapi rangi yako ya mtume

(Kwa roshen za mapapai)

Mmh we mtoto we we mtoto we

Wasije kuroga wenzako

Wapunguzir dozi utawaua

Sio kwa uzuri huo huo huo

We mtoto we we mtoto we

Unawatesa wenzako

Sio kwa hayo mapozi na kujishauwa

Unadamu ya nguo huo huo huo

Mama unaogopa nini mbona unaficha sura

Mama unaogopa nini mbona unageuka nyuma

Mama mbona mikono usoni ebu toa tukuone


[Chorus]

Uuh aiih mama

Jamani mbona we mzuri hvyo

Uuh aiih mama

Unavyoringa sasa sio shida zako hizo

Uuh aiih mama

Jamani mbona we mzuri hvyo

Uuh aiih mama

Nakusifia ringa vimba kichwa kapulizo


[Refrain]

Ukicheza (mzuri mzuri)

Ukinuna (mzuri mzuri)

Ukiringa (mzuri mzuri)

Ata ukilia mzuri (ni mzuri tu)


[Verse 3]

Ule kimini juu nato toto

Unafanya nishindwe kuto totoka

Umetakata upo so sosoft

Unawateza si kito toto

Uchuchu aaaah iya iya iya

Mara upo nyonyo upo titi

Ata saraphina anajua hushikiki

Aiyy serious nimempenda

Nasema na simuachii