Mwanza

By Rayvanny

Released on November 10, 2018

Thumbnail

[Intro: Diamond Platnumz, Rayvanny]

Vanny Boy

Eh, Vanny Boy

They are not ready for this

Chee


[Chorus: Diamond Platnumz]

Eh, nyege nyege

Kwetu Mwanza nyegezi

Hmm, nyege nyege

Nishushe Mwanza nyegezi

Oya nyege nyege

Kwetu Mwanza nyegezi

Hmm, nyege nyege

Nishushe Mwanza nyegezi


[Verse 1: Diamond Platnumz]

Oya wind your waist

Njo nipatie Commando

Nikupe cha mkwesi

Kwa miuno ya Tae-kwo-ndo

Asa chekele, mwendo wa kandanda

Ndani ya makwanda

Sa nisongeze, leta msambwanda

Nikazie nga'nga’nga (Chee)

Kananivuta ghetto

Nkapinge bunduki (High bunduki)

Ile naogopa central

Michezo ya Amber Rutty (Amber Rutty)

[Chorus: Diamond Platnumz, Rayvanny]

Eh, nyege nyege

Kwetu Mwanza nyegezi

Hmm, nyege nyege

Nishushe Mwanza nyegezi

Oya nyege nyege

Kwetu Mwanza nyegezi

Hmm, nyege nyege (Hey)

Nishushe Mwanza nyegezi (Mmh)


[Verse 2: Rayvanny]

Yaani kama mjaluo

Shepu ya Mombasa

Hapendagi mpasuo

Hata akishinda basata

Tepe tepe mtoto kama supu teke teke (Kongoro)

Kwa mateke mwite Fally Ipupa wa temeke (Ndombolo)

Shaku Shaku ya masai (Oh masai)

Kama kama nachuma papai (Oh papai)

Funika funua (Twende)

Bandika bandua (Twende)

Anika anua (Twende)

Kanipa chukua (Twende)


[Chorus: Diamond Platnumz]

Eh, nyege nyege

Kwetu Mwanza nyegezi

Hmm, nyege nyege

Nishushe Mwanza nyegezi

Oya nyege nyege

Kwetu Mwanza nyegezi

Hmm, nyege nyege

Nishushe Mwanza nyegezi

[Bridge: Rayvanny, Diamond Platnumz]

Oya fiti kalikiti ti

Katoto hakashikiki (Oya)

Kwenye bilingiti ti

Huvunjaja na kiti

[Break: Diamond Platnumz, Rayvanny]

Oh, sa iweke (Ah iweke iweke, ah iweke)

Ipitishe kwa chini (Ah iweke iweke, ah iweke)

Miendo ya kazi kazini (Ah iweke iweke, ah iweke)

Ile ndi ndi ndi (Ah iweke iweke, ah iweke)

Ngo ja shakiti bobo (Ah iweke iweke, ah iweke)

Twende shaku kidogo (Ah iweke iweke, ah iweke)

Chuma magi mbi mbi (Ah iweke iweke, ah iweke)

(Ah iweke iweke, ah iweke)


[Outro: Diamond Platnumz]

Hahaha, mchezo usiucheze (Kabisa)