Released on November 25, 2022

Thumbnail

[Verse 1]

Ah, ua red manukato ya pombee

Nitoe baridii, tushushie na monde

Yakhabibi, kweli Mungu hakosei

Mtoto gaidi kanilegeza kushinee

Aaiii wewe punguza kasi

Ukisugua unacheza rafu utangoa nyasi

Aiii wewe we punguza kasi

Ukipanda juu unavyo rukaruka

Kama farasi iii, nimekwama sijiwezi

Nimezama kwenye dibwi la mapenzi

Nimekwama sijiwezi

Nimezama kwenye dibwi la mapenzi

Ameniteaka


[Chorus]

Mtoto wa mama mkwe

Mtoto wa mama mkwe (apunguze dozi)

Mtoto wa mama mkwe

Mtoto wa mama mkwe (ananichanganya)

Wa mama mkwe

Mtoto wa mama mkwe (ayeyeee)

Mtoto wa mama mkwe (aah)

Mtoto wa mama mkwe


[Verse 2]

Aaah, mama kazaa, ona mtoto kifaa

Akicheka kama anakuita, ukimwangalia tu unajaa

Aaa anajua kuvaa, akvua unamwaga chapa

Mtoto rangi moja inang'a, usoni hadi chini kwenye paa

Papa nguruuuu, ananuruu

Akishika ikulu, natoa ushuru

Natokajeee? Hapa natokaje

Geuka waonyeshe kwiyoo natokaje?

Namwachaje? Jamani namwachaje?

Ona mtoto alivyochombo namwachaje?

Ee nimekwama sijiwezi

Nimezama, kwenye dibwi la mapenzi

Nimekwama sijiwezi

Nimezamaa kwenye dibwi la mapenzi

Ameniteka


[Chorus]

Mtoto wa mama mkwe

Mtoto wa mama mkwe (apunguze dozi)

Mtoto wa mama mkwe

Mtoto wa mama mkwe (ananichanganya)

Wa mama mkwe

Mtoto wa mama mkwe (ayeyeee)

Mtoto wa mama mkwe (aah)

Mtoto wa mama mkwe