Released on February 1, 2021

Thumbnail

Lala la, lala lala

Lala la, lala lala

(It’s S2kizzy Beiby)

Nawaza usingetokea ningeongea nini leo? (Aah)

Bila ya penzi lako ningeenjoy nini leo? (Aah)

Imekuwa bora alivyopotea ukatokea wewe leo

Tena bila huruma yako ningetamba wapi leo? (Aah)

Kwenye baridi

Nikukumbate upate joto

Twende kwa bibi

Atupe baraka tuzae watoto

Ngozi laini mtoto soap soap

Tumbo la kuvalia crop top

Vanessa wa nini? we don’t talk talk

Sitaki shobo nisha block block (Iyee)

Lala la, lala lala

Lala kifuani mmh

Lala la, lala lala

Kichuna lala usinzie

Lala la, lala lala

Nibembeleze nikuimbie

Lala la, lala lala

La la la..la la la

Nikimuita sukari ananiita asali

Lamba lamba pipi

Kuku mwenye kidari, shepu ngangari

La kuvunja kiti

Fundi fundi kamba

Za upendo wake kunibeba kwenda juu

Wakimponda saa

Hawajui ndo nazidi kumpenda tu

Usiku kwenye kimvua mvua, tukivua vua

Sema hata ajilaze kwenye kifua

Unanijua jua, nakujua jua

Masaji ya mafuta nikikuchua

Ngozi laini mtoto soap soap

Tumbo la kuvalia crop top

Fahima wa nini? we don’t talk talk

Sitaki shobo nisha block block

Lala la, lala lala

Lala kifuani mmh

Lala la, lala lala

Kichuna lala usinzie

Lala la, lala lala

Nibembeleze nikuimbie

Lala la, lala lala

La la la..la la la

Lala la, lala lala

Lala kifuani mmh

Lala la, lala lala

Kichuna lala usinzie

Lala la, lala lala

Nibembeleze nikuimbie

Lala la, lala lala

La la la..la la la

(Wasafi)