Kitu Kizito

By Rayvanny

Released on December 8, 2023

Thumbnail

We misso missondo

Umepigaje hapo

Hatukupenda kua single

Chui!

Hatukupenda kulewa kila siku

Hatukupenda watuite malaya

Hatukupenda ila ilitokea tulipigwa na kitu kizito

Kitu kizito

Kitu kizito

Kitu kizito

Hata kama unapendwa acha kuringa

Kisa kakuposti umeshaanza kuvimba

Mapenzi yana wiki tu umesha beba na mimba

Kuna kitu kizito

Kitu kizito

Utapigwa na kitu kizito

Kitu kizito

Misso missondo una hatari ntakupa dada

Tumetoka mbali

Tumemfata DJ

Tumetoka mbali sana

Tumemfata DJ

Tumetoka mbali

Tumemfata DJ

Tumetoka mbali sana

Tumemfata na chui

We! We una hatari

We! We una hatari wewe

We! We una hatari

We! We una hatari wewe

Ai mama!

We DJ

Ai mama!

We DJ

Ona toto ilo

Ni wewe tu

Sijui unafeli wapi?

Ni wewe tu

Akigeuka ndo bala!

Ni wewe tu

Baaria unakwama wapi?

Ni wewe tu

Haunogi

Huu mziki bila kulewa

Haunogi

Huu mziki bila mademu jamani

Haunogi

Huu mziki bila kumoka

Haunogi

Haya masela waonyeshe tunachezaje hapo

Digi, digi, digi, digi, digi, dindi

Dugu, dugu, dugu, dugu, dugu, dundu

Digi, digi, digi, digi, digi, dindi

Dugu, dugu, dugu, dugu, dugu, dundu

Digi, digi, digi, digi, digi, dindi

Dugu, dugu, dugu, dugu, dugu, dundu

We misso missondo umepigaje hapoo?

We misso missondo

We misso missondo

We, we, we

Umepigaje hapoo?

Uchawi upo jamani

Uchawi upo

Hivi ilikuaje mikanasa kwa kile kituko

Penzi lilikua na gundu

Lenye misukosuko

Kwanza ananuka shombo

Mwana izaya akwende uko

Ila huyu wasasa jama

Mpeni maua yake

Anajua kuni petipeti

Mpeni maua yake

Ila huyu wasasa jama

Mpeni maua yake

Anajua kuni honga honga

Mpeni maua yake

Soundboy