Released on December 13, 2024

Thumbnail

[Verse 1]

Sijuwi number yangu alifuta

Hivi waga ananikumbuka

Mapenzi yetu yali kufa haaka

Nime kuja vuta shuka kumekucha

Aliniambiya ananipenda nikalema

Huba ZIto fukizo pemba nikala raha

Leo siamini amekwenda n'a kesha bar

Mjanja wa mjini amenitenga kwenye mataa


[Bridge]

Picture zake natamani ni chome

Sura yake sitamani nione

Maumivu kwake nifanye je nipone

Penzi lake limefanyo nikome


[Chorus]

Kaniacha

Shemeji yenu

Kaniacha

Mchumbo wangu

Kaniacha

Shemeji yenu

Kaniacha

Mchumbo wangu


[Verse 2]

Bado Siamini ah

Ivini mimi dah

Waku shindwa kula na kunywa na sihisi jaa

Nilikuamini ah

Umefanya nini na

Bado moyo unama jera ntapona lini maa

Ona wewe, una enjoy

Umesha move on una amani

Ona mimi, niko hoyi

Yamеni chosa mapenzi siyatamani

Aliniambiya atanipenda kwa shida na raha

Mapenzi yotе nilo jenga leo jera

Bado siamini nilo mpenda kani kataa

Kweli maumivu yaku tendwa hayana shujaa


[Bridge]

Picture zake natamani ni chome

Sura yake sitamani nione

Maumivu kwake nifanye je nipone

Penzi lake limefanyo nikome


[Chorus]

Kaniacha

Shemeji yenu

Kaniacha

Mchumbo wangu

Kaniacha

Shemeji yenu

Kaniacha

Mchumbo wangu