Released on February 10, 2022

Thumbnail

[Intro]

Honey love sweetheart teamo

My love, my baby, my everything

Ananiamsha kwa mabusu mabusu

Mama ananipa massage ya mwili kwa chuchu


[Verse 1 : Rayvanny]

Nyama ananipa biriani upaja wa kuku

Jamaa mbuzi kaja zizini Simba na Zuchu

Na wanune wanune wanune

Na iwaume wakose cha kusema paka shume

Najua inawachoma choma kushinda pini

Wanatamani ndo wangekuwa mimi

Unavyonipa joto centigrade tisini

Aah raha

Najichanganya hiliki na mdalasini

Lowesha nguo nisiende kazini

Nkichafuka nifute kwa ulimi

Aaah raha raha


[Chorus : Rayvanny]

Ooh oooh..oooh

Honey love sweetheart teamo

My love, my baby, my everything

Honey love sweetheart teamo

My love, my baby, my everything

Yeah yeah yeah yeah...

Yeah yeah yeah yeah...


[Verse 2 : Ray C]

Mapenzi ni kama upepo

Unavuma ukipepea mioyo yetu

Umevumini kwetu vicheko

Wameona ununa hizo sio shida zetu

Na wanune, wanune wanune

Na wanune hawakosi cha kusema paka shume

Si umuache, wacha tukusaidie

So tukonaye, acha tukusaidie

Mlisema wa nini, acha tukusaidie

Acha tukusaidie

Ukasema umemchoka, acha tukusaidie

Leo macho yanakutoka, acha tukusaidie

Mnanuna nini wewe, acha tukusaidie


[Chorus : Rayvanny]

Oooh, oooh, oooh...

Honey love sweetheart teamo

My love, my baby, my everything

Honey love sweetheart teamo

My love, my baby, my everything