Released on December 13, 2024

Thumbnail

[Verse 1]

Ulilala nimeona kila kitu

Nimekuta meseji na missed call alikubipu

Salasala ulienda jana usiku

Eti kapenda show we msafi, ulisafisha msitu

Yani kila siku tuko wote

Kumbe unanizunguka

Pamoja na mahaba yote

Kumbe waficha makucha

Meseji nyingi sana nimeshazikuta

Zingine sijazisoma ningekufa

Nilipoona picha za mafuta

Nikakusaidia kuzifuta

Kuna Ben Daktari, hadi Doto Dalali

Ila achana na Wile mume wa mtu

Utamwagiwa tindi kali


[Chorus]

Natamani kukuacha uende

Ila moyo unataka nikupende

Najilaumu kila siku mi mzembe

Ila moyo unataka uyajenge mapenzi


[Bridge]

Natamani mapenzi yadumu

Ila mwenzangu wa weka sumu

Sipendi kukulaumu

Ila napitia wakati mgumu

Kila week ndipo Kisumu

Unadanganya ni majukumu

Kumbe upo kwa room

Unampa utamu anakuchumu


[Hook]

Why you cheating on me

Cheating on me

Stop cheating on me

Cheating on me

Why you chеating on me

Cheating on me

Stop chеating on me

Cheating on me


[Verse 2]

Simu nzito nimeona meseji ya Davito

Kumbe Mbezi Mwisho una mtu anaitwa Philipo

Kipindi mimi sipo alikua anakuhonga mission

Na hapo ulipo ameshakupa na ujauzito

Yanasifiwa Mapenzi, mi nachukia mapenzi

Kumuamini Mpenzi siwezi tena

Chunga mafriend wa mpenzi, visafari weekend

Ndo wakiona nyie mapenzi ndo basi tena

Akipenda cent atakucheat kisa mechi

Bado akipenda mechi bila cent utapigwa benchi


[Chorus]

Natamani kukuacha uende

Ila moyo unataka nikupende

Najilaumu kila siku mi mzembe

Ila moyo unataka uyajenge mapenzi


[Hook]

Why you cheating on me

(why you cheating on me)

Cheating on me

Stop cheating on me (iyee)

Cheating on me

(Why you cheating on me)