Protocol (Protokali)

By Rama Dee

On Kipenda Roho

Thumbnail

[Intro]

Nafata protocol, protokali


[Verse 1]

Nimekaa jela nyingi za mapenzi

Kwako nimepata uhuru

Kwenye kiza kinene, ukatokea nuru

Mateso mengi nimepata

Nashukuru nipo huru, woah

Kwenye kiza kinene, ukatokea nuru

Pepo kali zinavuma

Nifiche kwenye pwani ya huba

Hey

Mbali na dhoruba, nikugande mama kama ruba

Hey

Ujana mwingi pupa, nahisi nimezaliwa upya

Hey

Kwenye kiza kinene, ukatokea nuru

Mateso mengi nimepata

Nashukuru nipo huru, woah


[Chorus]

Oh

Nafata protocol, protokali

(Protokali)

Nikiwa na mtoto, 'mtoto mkali

(Mtoto mkali)

Oh, nafata protocol, protokali

(Protokali)

Nikiwa na mtoto, 'mtoto mkali

(Mtoto mkali)


[Post-Chorus]

Nampa kitu anapendaga, eh

Ndio kitu napendaga he, hey

Nampa kitu anapendaga, eh

Ndio kitu napendaga he, hey


[Verse 2]

Raha kula vyako bila wasiwasi

Ladha yako haina mfano

Za kwao hazifati

And you know, oh

Kutwa mara tatu, 'wito

Kutwa mara tatu, 'we go

We go harder, 'nawe, dada

Umeni-murder

Na nataka ujue kinacho nikosha kwako, dada

He

Rangi yako ya dhahabu, mjeledi

Ina nisulubu kweli, hivi deadly

Na haujipangi sana, upo ready

Nnapo kuhitaji popote, upo ready


[Bridge]

Kwenye kiza kinene, ukatokea nuru

Mateso mengi nimepata

Nashukuru nipo huru, woah


[Chorus]

Oh

Nafata protocol, protokali

(Protokali)

Nikiwa na mtoto, 'mtoto mkali

(Mtoto mkali)

Oh, nafata protocol, protokali

(Protokali)

Nikiwa na mtoto, 'mtoto mkali

(Mtoto mkali)


[Post-Chorus]

Nampa kitu anapendaga, eh

Ndio kitu napendaga he, hey

Nampa kitu anapendaga, eh

Ndio kitu napendaga he, hey


[Chorus]

Oh

Nafata protocol, protokali

(Protokali)

Nikiwa na mtoto, 'mtoto mkali

(Mtoto mkali)

Oh, nafata protocol, protokali

(Protokali)

Nikiwa na mtoto, 'mtoto mkali