Mbongo

By Put2sleep

Released on April 27, 2020

Thumbnail

[Intro]

Kevoonikwikwiri!!

Aaah! (brian Simba)


[Chorus: Brian Simba]

Mbongo naishi maisha

Mbongo naish maisha

Mbongo naishi maisha

We nipe dili tu nasababisha

Mbongo naish maisha

Mbongo naish maisha

Wabongo tunakinukisha

Ukiwaisha ni noma kabisa


[Verse 1: Brian Simba]

Mbongo naish maisha

We unaish kindezziii

Mi na wanangu tupendi michezo hata kama tukitinga Jersey

Hii nimeitunga ufukweni... Na mcheni.. na baby kamkamata Maria Jeni

Imempa mavibe kavua na hereni.. sahvi natafuta chumba cha ugeni

Cha kwanza ni chips mayai

Cha pili ni pshhhht nifurahi

Cha tatu tukikianzisha haijafika usiku na dah!. sifaii

Maisha yenyewe ndo haya mabapa na Pisi ndo zinansabai

Jpili ni wine . Nilienda church mchana nikaanza divai

Mbongo naish maish na pis kabisa ka nicki minenga

Machiz wanamdatisha huyo demu na mshiko ila pisi lkanpenda

Huwa alinpiga Calendar... teleza mwanzo kajionaga mlenda

Ila si Uncle ka Wenger na ananieshimu ka mheshimiwa Temba


[Chorus: Brian Simba]

Mbongo naishi maisha

Mbongo naish maisha

Mbongo naishi maisha

We nipe dili tu nasababisha

Mbongo naish maisha

Mbongo naish maisha

Wabongo tunakinukisha

Ukiwaisha ni noma kabisa


[Verse 2: Kanno]

Mbongo nina usongo, asubuhi chai nashusha na bondo

Mchana ni Ah!, maji kufata mkondo

Ila viwalo ni proper nidake IG nkijipa mapromo

Ndani ya jiji la joto, pisi nakula mchana

Mbongo nasaka mshiko nacheza kamali, nacheza malotto

Nile maburger nibebe manondo

Nijenge chest nibebe watoto

Na hao wanapenda mikopo, mwanangu hupati ukiwa alosto

Ndo maana mi,nikizinyaka nawananii

Kisha nasepa

Mi sifanani na repas, hao unasa kwa shorty za umma

Baadae ni switch challenge kuvaa mathong sababu ya ku...ah

Wahuni habari hatuna, kishakukanda chomoka ka duma

Afu sepa na boda ya mwana atamaind ukisepa na uber aaaaiii!!


[Chorus: Brian Simba]

Mbongo naishi maisha

Mbongo naish maisha

Mbongo naishi maisha

We nipe dili tu nasababisha

Mbongo naish maisha

Mbongo naish maisha

Wabongo tunakinukisha

Ukiwaisha ni noma kabisa


[Chorus: Brian Simba]

Mbongo naishi maisha

Mbongo naish maisha

Mbongo naishi maisha

We nipe dili tu nasababisha

Mbongo naish maisha

Mbongo naish maisha

Wabongo tunakinukisha

Ukiwaisha ni noma kabisa