Kare

By P-UNIT

Released on August 10, 2010

Thumbnail

Intro [Frasha]

Mazee nilipatana na huu dam

Akani-show hakuna ma MC wakal

So, nikampeleka Decimal

Akapatana na Punit

Alafu Musyoka akanipea hii track

Twende kazi

Verse 1 [Frasha]

Frasha, mi mkare

Nilianzanga mziki tu na Nakitare

Akajikalisha basi tu na dakitare

Si unajua Frasha nakuwaga dakitare

But mtaani, mi ni ordinary

Si wa geti kali, boss mi mnare

Ndio maana tu-dame tunashindanga kerere

Wanataka mpango wa kando ati niwadarre

Boss, hey, nisha-marry

Niko mdogo mdogo tu kwenye gare

Mmm, ha? Si usare

Nikisonga mbele wako pare pare

Pale pale? Eh, pare pare

Si tuko kwenye club tuna-party party

Parerezo yaani pare pare

Mnarusha mizuka tu pare pare


[Chorus]

Maishani mwangu (Maishani mwangu)

Sijapata mkare, mkare, mkarе

Maishani mwangu (Maishani mwangu)

Sijamwona mkare, mkare, mkare

Vеrse 2 [Bon'Eye]

Bon'Eye jemedari, mkare

Mistari generale, kare

Generali tangu kale, kare

Kikundi serikale, yaani

Siri kali tangu kale, kare

Haijalishi kale gani, kare

Kazi zote karekare, kare

Na katika ile hali, kare

Cash and carry in a hurry, kare

Carry forward, Kari Francis, hare

Safari za mbalimbali, kare

Biashara mbarembare, kare

Hatuchoki na hii safari, kare

Sauti za kinyumbani, kare

Wekelea kwa dakitare, kare

Ya dakitare na ni kare ke!

(Chorus)

Maishani mwangu (Maishani mwangu)

Sijapata mkare, mkare, mkare

Maishani mwangu (Maishani mwangu)

Sijamwona mkare, mkare, mkare

Verse 3 [Buganya]

Buganya mimi nina sware

Madada kibao, wote shware

Wanamuka mbele yangu, na ni sare

Wanataka leta noma na kucheza ngware

Kwangu kuja nje kuna mbwa kare

Nyumba ndani huko pata bibi kare

Mkare, mkare, mkare na si mkale

Nimeng'ara Karl Kani gani toka kare

Nimechapa toto ware ware bado kare

Kama umeshindwa basi reta ture

Na uongeze ture ndio mi nikure

Kuja turerembe kure tuko rembe

Wale wako manyu wanataka rembe

Wanakakakatika kama wembe

Otwabe cheki Buganya kitambe


[Chorus]

Maishani mwangu (Maishani mwangu)

Sijapata mkare, mkare, mkare

Maishani mwangu (Maishani mwangu)

Sijamwona mkare, mkare, mkare

Outro[Mimmo]

Maishani mwangu, mwangu, mwangu

Yeeeh

Owoh


[Chorus]

Maishani mwangu (Maishani mwangu)

Sijapata mkare, mkare, mkare

Maishani mwangu (Maishani mwangu)

Sijamwona mkare, mkare, mkare

Maishani mwangu