Released on August 7, 2026

Thumbnail

[Intro]

Rrr

Wakiona unazidi wanaanza kuhate

Rrr, rrr rrr rrr

We jua kabla sun iset (at ati)

Lazima niingie mtaa na cheque (na cheque)

Kazi yao ni kulia upset

Wakiona unazidi wanaanza kuhate (watombwe)

Sikutambui sikurate decision nilichoose zinafanya niregret (ni regret)

Maziwa napea respect, fake friend calls zake reject (kata tenje)

Vitu nado huezi jaribu (hauezi)

Accuse nakuchai bila sababu (wallahi)

Kuna madawa siezi jaribu lean kwa hio cup ongeza barafu

Nikiwa na gang usitry kunijaribu (ati)

Nimetoka far si karibu

Tegea mali haiko karibu

Msupa wangu sweet zabibu

Wanabweka ukishine ukiwa chini wanasmile (watasmile)

Nafungua mind kabla nianze kugrind (wallahi)

Naamini itajipa (wallahi)

Journey yangu ni sir Jah anaguide (ni sir Jah anaguide)

Kuna mabro nikikumbuka mi nacry

Mbona uliniwacha I wish ungekua hai (wallahi)

Ni sawa mpango ya Jah hatukatai

Ndio nitulize mawazo mi lazima nijifry

Ni mambang'a pekee washai fanya mi nihide

Nagrind hii design ndio mkoro joh asmile

Nadai nimsimamishie ng'ondo na ndai

Nilikua nafanya alie sahi nadai afurahi

Ati rap or roads bado mi sijadecide

Ni mapussy wanacopy kila style

Hawana idea kazi yao ni kuchai (chai chai)

Ka hunilipi nakubuy (nakubuy)

Nadai kujaa jaa kitu nataka nibuy (maziwa)

Ka ni long mil kuja sahi sahi

Madem kwa DM wamenijazia ma hi (hello)

Natulia na mafegi sikatai (ati)

Zimeshika ka spark niko high

Siezi kiss and tell ukinipea mi nitahide

Kawasaki design anaride (ati)

Open center panua kitu tight (mbele)

Mbele iko sawa mi naaminia

2 Pac all eyes on me ni mi wanaangalia

Machaji roho juu bro anakukufia

Ka we ni bad man unaeza kalia

Njia nimepitia we ukipita utalia (I swear)

Siezi acha kusaka adi nifike kamia

Nakumbuka nikiwa stu hadi floor nililalia

Si wote mareal niko rada ya bandia

Sijai fanya kitu kuprove (we skia)

Mi siezi shindana instead na improve (nakusho)

Huezi fanya vitu mi nado (hauezi)

Walidhani nimeriet sahi nachezwa adi majuu

Never give up usiwahi kufa roho (usiwahi)

Mary Jane pekee nakulanga raw

Siezi sahau penye nimegrow

Nikisota nafeel niko low (niko low)


[Outro]

We jua kabla sun iset (at ati)

Lazima niingie mtaa na cheque (na cheque)

Kazi yao ni kulia upset

Wakiona unazidi wanaanza kuhate (watombwe)

Sikutambui sikurate decision nilichoose zinafanya niregret (ni regret)

Maziwa napea respect, Fake friend calls zake reject (kata tenje)

Vitu nado huezi jaribu (hauezi)

Accuse nakuchai bila sababu (wallahi)

Kuna madawa siezi jaribu lean kwa hio cup ongeza barafu

Nikiwa na gang usitry kunijaribu (ati)

Nimetoka far si karibu

Tegea mali haiko karibu

Msupa wangu sweet zabibu

Siku zombotote elevation

Tupatane juu

Rrr