Released on November 19, 2021

Thumbnail

[Intro]

It's 8Town

Welcome to Octopizzo ministries

Pizzo de

Si unajua venye si hufanya bana

8Town

Pizzo de what

King

Skiza skiza nyonyi hapo hivo kando

Ukicheki huyo mrembo umuambie wewe

Siku nyingi nimekurada wewe

Wewe msupa wewe


[Chorus]

Ni wewe tu baba

Ni wewe tu

Ni wewe tu Octo

Ni wewe tu

Baba yetu


[Verse 1]

Bars ni ka nimehepa jela

Uliza nani number moja

Kila siku wanangoja

Hizo zingine vuvuzela

Zangu piga acapella

Murder beats well wella

Zangu daily saka hela

Nani ametoka yolo

Tena huskii narudi morro

Buda seti washa hio koro

Wuod nyaboro, bade dongo

King wa rap hapa nani

Sitoi rangi hizo gani

Sura ngumu mi ni chali

Presidential niko rally

Nasa hao kila mahali


[Chorus]

Ni wewe tu baba

Ni wewe tu

Ni wewe tu Octo

Ni wewe tu

Baba yetu

Ni wewe tu baba

Ni wewe tu

Ni wewe tu Octo

Ni wewe tu

Baba yetu

Gang gang


[Verse 2]

Baba yetu aliye Kibera

Jina lako litukuzwe

Ufalme wako na ufike

Pizzo de King and you know it

Gang gang

Wewe wewe wewe

Nawachenga Maradonna

Chini yangu hao door mart

Bila tailor tumeshona

Ule mbleina nili-murder

Hana mafans siku hizi

Wale wote ni ma mourners

Tunachana wapi gomba

Kila siku niko sober

Nane massive tuko doba

Shika nare mi ni copper

Uliza huzzy wa size 8

Atakushow mi ni toppa

Ikikuja ni mangoma bana

Mi hupatia ma DJ more

Zangu zinatoka na album

Album yako ni ya picha

Na picha yenyewe ulichoma

Pizzo de King mi ni noma

Ballin' mi ni Kobe

Dry clean mi ni dobi

Naji-nice hii ni hobby

Nikicheza chini niko lobby

Ukicheza chini uko mopping

Original we ni copy


[Chorus]

Ni wewe tu baba

Ni wewe tu

Ni wewe tu Octo

Ni wewe tu

Baba yetu

Ni wewe tu baba

Ni wewe tu

Ni wewe tu Octo

Ni wewe tu

Baba yetu


[Verse 3]

Kibera namba nane ngori

Kaa rada cheki pori

Bow down sema sorry

King King hapa nani

Ambassador hapa nani

Billboard pale nani

Mulla kila siku nani

Tumeunga bila unga

Walami daily nina lugha

Macho lazy niko ngunga

Teke teke luong Olunga

Waki-catch sema tena

Tena tena

Waki-catch sema tena

Weuwe weuwe weuwe

King Pizzo

Eight

Ingine