Released on March 1, 2017

Thumbnail

[INTRO]

8-TOWN Pizzo the king

Kibera namba nane

Heey si unajua si unajua man (Asemoke)

It’s anada one and anada one and anada one (Oliel, oliel, oliel)

8-Town, Kibera to the world baby


[Hook]

Heey nabring it back kaa TBT

Nabring it back kaa TBT

Nabring it back kaa TBT

Deejay bring it back kaa TBT

Monday TBT

Tuesday TBT

Wednesday TBT

Thursday si unajua ni TBT


[VERSE ONE]

Wanyabora bring it back like a TBT

Mi si poppa naroam kaa DVD

Watch ikigo viral VCT

Mastude wanabambika wanadhani nimetokea visiting

Hii hata watu wa kahawa watatii

Na wale wa kupenda chai washa Tea

Wangapi washa-eat

Juu kuna vee naskia sautisol wanadai wamekaliwa chapatii

Dondo plus bomboclat

Kuna venye hizo vitu mbili buda hazijaimix

Pointing point is

Saa hii kuna venye niko na mapanda feelings

Pes otas nigga

Nachanga shillings

Keja convertible nilibomoa celing

PI unadai nikujenge

Nitakujengaje mtu wangu na buda we si building


[Hook]

Nabring it back kaa TBT

Nabring it back kaa TBT

Nabring it back kaa TBT

Deejay, bring it back kaa TBT

Monday TBT

Tuesday TBT

Wednesday TBT

Thursday si unajua ni TBT


[VERSE TWO]

Tunashuffle arsenal hii ni riffle

Chelsea Man U nyi ni rival

Enda uambie Mariga nilibuy ball

Kuna dem naskia anadai ball

Jigga-ish, wavy, hii ni title

Mr Ohanga hii ndo title

Na kwa church nikiingia pastor huwikwa zile za "holy shit!"

Mi ni Bible

Hii si local nani ndo logo

Wa-TZ wanawika Dar na si bongo

Si tunawika raa na si coasto

Nilikafunga na si leso

Slumboy Kibera mi ni ghetto

Lorenzo E-class mi ni benzo

Wananiogopa, hold up

Madeejay wananiogopa buda na mi si Kenzo


[Hook]

Nabring it back kaa TBT

Nabring it back kaa TBT

Nabring it back kaa TBT

Deejay, bring it back kaa TBT

Monday TBT

Tuesday TBT

Wednesday TBT

Thursday si unajua ni TBT


[VERSE THREE]

Ooh bwoy, nimekuwa ambassador bila kupitia CBD

Ooh bwoy, wanadai nilifika hapa juu ya illuminati ati si bidii

Ooh bwoy, mi ndo boy hukuwa na lines mob kwa kichwa ni kaa nimevaa kofia ya corduroy

Ooh bwoy, nikipita kwa mtaa yako nafuatwa na convoy

Heey I bring it back like a chorus

Mwanaume ni akili punguza thorax

Hii ni noma hii si choma hii ni before full stop hii ni comma

Hii ni kaa kwa kitanda eight years bila kupona

Hii ni comma PI ZZ

Mpaka kwa shule round hii si itabidi mmenisoma


[Hook]

Nabring it back kaa TBT

Nabring it back kaa TBT

Nabring it back kaa TBT

Deejay, bring it back kaa TBT

Monday TBT

Tuesday TBT

Wednesday TBT

Thursday si unajua ni TBT