Released on November 20, 2020

Thumbnail

Pizzo De!

You Know it You know it

You Know it You know it

8town 8town 8town 8town 8town 8townn

Pizzo De You know it

Nilianza nilianza enzi za ukoo lakini hadi leo uski

Bado nan’gaa

Mother alihustle hustle sana shule nilimada na

Doo tulipata kwa chan’gaa

Nikiamka mi ushtuka sana Kwani kuliendaje ndio

Tukafika hapaa

Tulisota tukasota sana but sikuwai give Up

Nashukuru jah jah

Kuchangisha nilichangisha mama nakumbuka

Pesa zako zile zote za chama

Walikula kila siku nyama Sisi Pale Kando ni matee

Tamaa

Mama natambaa

Nawish ungeona venye sikuizi nan’gaa

Tamaa niliacha

Nakula nyama zote zenye nafaa

Mama natambaa

Nawish ungeona venye sikuizi nan’gaa

Tamaa niliacha

Nakula nyama zote zenye nafaa

Mbaibe, bebebebaaby

Nasema mbaibeee ee

Mbaibe anadai anadai

Na mtoto akililia wembe atawai atawai

Nasema mbaibee ee andai anadai

Na mtoto akililia wembe atawai atawai

Walai mangwai siezi lie daily niko high

Sijawai sitawai kuchochwa hapa kule na hype

Napaa Nanglaa pewa moshi daily shada

Nashanga Mamaa nawashish ungekua asapaa

Magucci na prada ungeva kila kitu unataka

Pamba za white kabla ukae chini wanawipe

Mama natambaa

Nawish ungeona venye sikuizi nan’gaa

Tamaa niliacha

Nakula nyama zote zenye nafaa

Mama natambaa

Nawish ungeona venye sikuizi nanlgaa

Tamaa niliacha

Nakula nyama zote zenye nafaa

Mama mama mama mama mama mamaa maaamaa

This is dedicated to all of you that got succesfull to late

We got successful to late mama

8TOWN the Don

Mama Nanlgaa nawish ungekua asapa

Mama Nan’gaa nawish ungekua asapa

Nane nane nane nane

Namba nane nane nane

Pizzo De! You know it