Sijawai

By Octopizzo

Released on May 24, 2023

Thumbnail

[Intro: Cutty Ranks Sample]

6 million ways to die, choose one

Gang gang


[Hook]

Na sijawai na sijawai (na sijawai)

Na sitawai na sitawai (na sitawai)

Hatujawai hatujawai, tambua mambleina

Na sijawai tambua mambleina, ayy

Hatujawai tambua mambleina, heh

Na sijawai tambua mambleina, heh

Na sijawai na sitawai na sitawai na sitawai


[Verse 1]

I think I'm Big Meech, Larry Hoover

Namba nane baby niko all over

Pale kwa dance floor ambia msupa "Bend over"

8 ball iko ndani, game over

GK serikali, mi gova

Chocha chocha chocha, ati ma-Range Rover

"Ati Biwott!!," mi ni Tom Mboya

Rusinga island, hamuezi tutoboa

1990 boy wa Rusinga alikuwanga foreign minister

At age 19, mtaani Octopizzo walikuwa washajua mi ni star

Madem kunifuata na ma mini skirt

Ki-Sir Godi najiamini

Self-employed, najiajiri

Na sijawai tambua ngoma za Naija mi**


[Instrumental Break]


[Hook]

Na sijawai na sijawai (na sijawai)

Hatujawai hatujawai (hatujawai)

Na sitawai, tambua mambleina

Na sijawai tambua mambleina, heh

Hatujawai tambua mambleina, heh

Na sijawai tambua mambleina, heh

Na sitawai na sijawai na sijawai wai wai

8town


[Verse 2]

Ayy, cheza chini

Ju ikikuja ni competition Octopizzo ako winning

Pweza mimi

Ukinitarget itabidi umetravel coasto, hadi Malindi

Mikadili, kule Likoni

Uteremke Nyali kisha Mikindani

Yaani ikikuja ni coasto mzima utapata P-I niko ndani

Wapi sembe bana? (mahindi)

Una pembe sana (waindi)

Nikutoe rangi (ya nini?)

We ni ndume bana (Jiamini)


[Bridge]

Mziki ni job mziki ni doh

Mziki ni smoke niko mandom

Niamini bro nikikushow hizo hype hawana doh

Utanishow nini bana?

Na mtaani bado najiamini sana


[Hook]

Na sijawai na sijawai (na sijawai)

Hatujawai hatujawai (hatujawai)

Na sitawai, tambua mambleina

Na sijawai tambua mambleina, heh

Hatujawai tambua mambleina, heh

Na sijawai tambua mambleina, heh

Na sitawai na sijawai na sijawai wai wai


[Verse 3]

Nikimaliza, siko kwa giza

Kaa ni maganji, nimeingiza

Wale mambleina, nawakimbiza

Hepa, hepa, hepa, hepa, hepa

Octopizzo wapi? Ngepa ngepa ngepa

Shamba zangu wapi? Tepa tepa tepa

Taxin tema? Tema tema tema

Na bila Diamond nime-go platinum

So unaeza uliza, Wema Wema Wema


[Hook]

Na sijawai na sijawai (na sijawai)

Hatujawai hatujawai (hatujawai)

Na sitawai, tambua mambleina

Na sijawai tambua mambleina, heh

Hatujawai tambua mambleina, heh

Na sijawai tambua mambleina, heh

Na sitawai na sijawai na sijawai wai wai


[Outro]

Why lie

Won't you rewind it

Na sijawai na sijawai