Released on August 22, 2011

6K Views

Thumbnail

(Verse I)

Walidhani wakibai subaru watakuwa wameacha legacy

Octo niko juu ya madawa ni kaa nimekalia pharmacy

Brain iko full ata ujinga hiwezi ulizia vacancy

Unataka kuwa ka mi?come YGB then hang na si

Bado unakunywa cham? eh, zangu ni ma Hennessy

Kuja na attitude tukuingize maira, kamasi

Tunawahemesha tunawachochoa wakitokwa na makamasi

Mafuta ikiisha tutapita na makaa basi

Ukikula chungwa na ndizi mi nitakula nanasi

Niko mbele, wako nyuma ka wafuasi

Reason ni daily maze, me huwachoma ka pasi

Wanakam so slow, ju track iko kasi

Sahi namek doh, jo mtu wangu niko kazi

Mtaa naenda na maziwa ju kwa rap game mi ni mzazi

Cost ya kila kitu imepanda, ebu enda Mombasa mtu wangu uulize bei ya madafu

(Chorus)

Number nane wapi? Number nane on top

Octopizzo wapi? Octopizzo on top

So get that mulla, buy that ndula, say

Get that mulla, buy that ndula

YGB wapi? YGB on top

Octopizzo wapi? Octopizzo on top

So get that mulla, buy that ndula, say

Get that mulla, buy that ndula

(Verse II)

I spit fire then I let it burn like Usher

Kwa rap game nadai cash ka Akasha

First class picnics nipate Naivasha

Kuroll na mamodel wasupa ka kina Natasha

Sitembei na wallet, doh kwa bahasha

Walijiona the storm sai nawamek rasharasha

Who's smarter now? Si wewe

Niko juu yao nawachungulia ka mwewe

Octo AKA itisha upewe

YGB AKA itisha ulewe

Just a minute wacha nimalize kuchana

Na si nywele, ni vijiti

Ka plantation za Kericho, washatii

Na ka bado itabidi nimewashika mashati

Niwagote ata kuliko wanati

Ju ukikuja na ruff game my own ish ni kama batwail

(CHORUS)

Nimetoka Kibera lakini ata nikisota sikopi

Hawana style skuizi yangu ndio wanajaribu kucopy coz

Wanaluck originality ka photocopy, si sikizani na paparrazi ju mi ni photophobic

Lakini kwa battle nazidi kuwamada na logic, am so straight Octo mi ni homophobic

Wanadai beef na kwa facebook wako so poky, kwa rap sichoki, number nane sitoki

Boy yuko na flow moja kali ka El-Nino, Bongo mi ni most wanted jo ka albino

Akili ni nywele, linda zako jo ka mokorino, hiphop kwa damu natumia blood ka wino

Daily huaga nazidi kuexcel ka chino, daily nawachenga zile za ki Ronaldinho

Ka unaumwa sana mtu wangu pia unaeza kunywa ino

Ukinibo sana mtu wangu pia naweza kutukana *##*

Ni I double, P-I mambo, sahii niko on the spot ka Radio Jambo

Nakunyanyasa ata kuliko madha wako wa kambo

Na ka hujawai jua mtu wangu rap sijaanza kitambo

Nimeanza juzi na tayari niko kwa mitambo, niko used to the machines maze ka Rambo

Wananiogopa, siku hizi wakiniona wanaanza kusitasita ka list ya Ocampo

(Chorus)

Octopizzo wapi? Octopizzo on top

Number nane wapi? number nane on top

So get that mulla, buy that ndula, say

Get that mulla, buy that ndula

YGB wapi? YGB on top

Octopizzo wapi? Octopizzo on top

So get that mulla, buy that ndula, say

Get that mulla, buy that ndula