Released on November 20, 2020

Thumbnail

Pizzo De!

8town

Maselina niko na Shule uko kwetu

Masselina niko na pesa nyingi sana

Maselina niko na suti nyingi sana

Ninaishi kule Dubai

Kesho narudi Paris ee

Nikisema niko maji Pizzo the fish pweza Cheza na flow

Nikisema niko ganji mbuzi na cross buda praise the Goat

Praise the don Pizzo kwa dhow

Nipate Lamu nimechil kwa boat

Ambia shaabik Rada ni harpic unadeal na the ish

Zangu ni nappy ju mother hana ganji najidunga na pin

So ka ya haunikanji chezaga mbali na ufungage lips

Yow Windowz up and a whip it

Windows up on a jeep scrr

Fela kuti in ma dreams But

Les wanyika ndio Ma KiNGS

Maselina niko na shule uko kwetu

Masselina niko na pesa nyingi sana

Maselina niko na suti nyingi sana

Ninaishi kule Dubai

Kesho narudi Paris ee

Kwa hizo Chocha haunipati sipendi hype but daily na psych

Niko ocha machapati ndegu kwa side after that ni mic

Love yangu ni ya mtaani yako kwa sitеs unaongoja Malikes

Niko njaa na sahani kwa mama oliech nikingojaga rech

Drip zangu za zamani bado ni wеt so ni maji na fetch

Ei King David when I sling

Making money in my sleep

Bitcoin no receipts

Silicon Valley rift

Aircon nikidrift

Waki Stair panda lift

Maselina niko na shule uko kwetu

Masselina niko na pesa nyingi sana

Maselina niko na suti nyingi sana

Ninaishi kule Dubai

Kesho narudi Paris ee