Check check check check check check

Pizzo De! Yo Yo

Niko kwa kibanda

Kangeta taxin daily niko handas

Nane ngori Pizzo mana Badman

Zima moshi Rada za nacada

Marajane pass it napenda huyo dada

Marajanae napenda wewe sana

Nipate pale java niko jaba

Chini ya woyes mamba kata waba

We ni artist basi msupa chora saba

Picasso nikicheki dabas

Campus wee ndio nangoja

Yeyeye yee Pizzo De

King and You you know it

Ngati mngola tanasha dona

Pizzo ni Don man

Chorea conman toka dodoma

Ati dangote nabonya wote

Usiogopeee

Breko zangu zote kwa kibanda

Matime lunch pia kwa kibanda

Bachelor supper kwa kibanda

Wasupa daily wote kwa streets nawahanda

Breko zangu zote kwa kibanda

Matime lunch pia kwa kibanda

Bachelor supper kwa kibanda

Wasupa daily wote kwa streets nawahandaa

Sema bags zimestack up

Msuper amеback up

Najua hamjui mi hujua hizi vitu

Najua hamjui hamjui mi huua hizi vitu

Najua hamjui ntasumbua kila siku

Now tell who when they comе with the realest

Ready or not se we dont play

And if you really wanna know how we do this thing

Let me tell you let me tell you one time

Lete sima lete mboga lete nyama one time

Halafu sasa jaza supu niwaoshe one time

Jina yangu usitaje ukidai kuja jakes

Rada rada za kifala sema kweli mi sijui

Kama dishi iko poa basi jua sibagui

Kuna warembo hatujui wamefunga buibui

Hapa kazi nimefunga nikukula kama Chui kang kang

Kama Chui kang kang

Breko zangu zote kwa kibanda

Matime lunch pia kwa kibanda

Bachelor supper kwa kibanda

Wasupa daily wote kwa streets nawahanda

Yoyo Zerro check it

Mi upiga bizz ka ni sure

Niko ju ya maji ka mashua

Na ka ni shada mi unyonyaga na mapua

Mi ni mkali zaidi ya pili hadi khali si ananijua

No crack pay anpiga sticki

Ikus si tamu ka hai wiki

Uski kajaba si kambereka kashiki

Nipate ju ya kandovu kejani harufu ni ya iliki

Attractive inavutia ma matha

Ngoma uski ni mabaya kilimum uski utaipata

Zzero mana badma shata

Doshi nimewajizisha na yangu chuma wanaitaka

Breko zangu zote kwa kibanda

Matime lunch pia kwa kibanda

Bachelor supper kwa kibanda

Wasupa daily wote kwa streets nawahanda

8town

Rada chafu rada chafu nikiguza weuweuwe!

Aaaaa