[*Chorus??]

Kabla upate job, wanadai karatasi

Contacts zangu zote; pia ni za karatasi

Doh yenyewe nikipata ni ya karatasi

Toilet paper pale choo pia ni ya karatasi

Murder scene Hiroshima Nagasaki

Stage ukiniona nikipiga show, karatasi

CEO kwa Offe karatasi

Chokoraa pale street daily pia karatasi, so

Buda acha wasi wasi

Ndo natoka Embakasi

Rada saka karatasi

Siezi kosa karatasi


[*Chorus??]

Mula imetubrain wash kila kitu paper work

Wengi wetu tuna experience lakini bila paper luck

Bonga mbaya pigwa stapler, paper punch

Na mtaani huwezi nikosa na chipo mwitu, paper lunch

My shit been fly, since era za paper bag

Usitoke daro kabla hujamaliza hizo paper man

Professor aka Mr Ohanga huwezi graduate kwa hii class

Kabla hujajaza hizo paper son

Kijana wacha wasiwasi

Hapa sio sarakasi

Wanataka karatasi

Siwezi kosa karatasi


[*Chorus??]