Hakuna Matata

By Octopizzo

On FUEGO

Released on November 19, 2021

Thumbnail

[Intro]

Gang

Check Check (check check check check)

8-town

Gang Gang


[Chorus]

Kenya hakuna matata

Kenya hakuna matata

Kenya hakuna matata

Kenya hakuna matata

Jambo, jambo bana

Mambo, mtaani bana

Form, gani sasa

Pizzo de King and you know it


[Verse 1]

Kenya hakuna matata, na daily watu wanaukata

Kenya hakuna matata, njaa mob Turkana

Kenya hakuna matata, politician wanatukanana

Bei ya unga juu

Chapo dunga juu

Fare kwa mat juu

Rat and rat chuom chuom, panya route ndio zetu

Kenya hakuna matata

Nchi ya kitu kidogo, Kenya hakuna matata

Afande anadai hongo, jambo, jambo bana


[Bridge]

Eeh jo kwa hawa ma tourist wanakuja hii area jo

Msijaribu kudanganywa jo (chocha chocha chocha chocha)

Manze unaskia huku manze ni kata sana

Pizzo de King and you know it


[Chorus]

Kenya hakuna matata

Kenya hakuna matata

Kenya hakuna matata

Kenya hakuna matata

Jambo, jambo bana

Mambo, mtaani bana

Form, gani sasa

Jambo, jambo bana


[Verse 2]

Jambo, jambo bana Rambo

Noma sana mambo

Gani bana Tergat

Mi ni runner gifted

Mi ni Santa

Eti hakuna matata

Buda hio ni kata cheki

Namba nane cheki

Mathare cheki

Ungwaro, Githurai 44 cheki

Korogocho, Lungalunga wamesota cheki

Njenga Randa Mek Waya

Buda ni kubaya iza

Hawaezi fanya no wonder siku hizi ka ni job sisi

Wanahire wanatulipa half price

No wonder tunawasanya

Ati Kenya hakuna matata

Gava tunawakanya

Eeh jo, gava jo bana

Acheni kutupima mavi jo

Unafaa ukuje Kibich jo

Uone venye Kenya hakuna matata

Gang Gang


[Chorus]

Kenya hakuna matata

Kenya hakuna matata

Kenya hakuna matata

Kenya hakuna matata

Jambo, jambo bana

Mambo, mtaani bana

Form, gani sasa

Jambo, jambo bana


[Verse 3]

Kenya hakuna matata

Juu tuko na wanyama

Zote zimededi, juu tulizigeuza nyama

Walitufungia ndani sana

Bila nyundo tukahama

Walipanda wakishuka

Si bado tuko paha

Grant yangu ikajipa

Zao zote zikahaha

Jambo, jambo bana

Mbona, umesota sana

Most wanted unatakikana

Kenya hakuna matata (hold up hold up hold up hold up)

Kenya hakuna matatu

Levels pia ni tatu

First class, Middle class si hapo ndio wa tatu

Kuna wenye nchi, kuna wana nchi

Kuna serikali, kuna sirikali

Buda Kenya hakuna matata

Eeh manze jo

Tunawajua tunawajua yaani

Next time nikishikwa hapo airport usinianzie hizo za ovyo jo


[Chorus]

Kenya hakuna matata

Kenya hakuna matata

Kenya hakuna matata

Kenya hakuna matata

Jambo, jambo bana

Mambo, mtaani bana

Form, gani sasa

Jambo, jambo bana

8town

Gang Gang

Pizzo de King and you know it