Released on November 20, 2020

Thumbnail

8town

Pizzo Del

Eyo chausiku chausiku

Ongenza mchicha kwa viazi zangu bana wee

Dungu dungu kwea mpeleke aende kwao

Dungu dungu kwea peleka aende kwao

Dududungu dungu kwea peleka aende kwao

Dungu Dungu kwea peleka aende kwao

Duudungu dungu kwea peleka aende kwao

Dungu Dungu kwea peleka aende kwao

Cheki lens niko focused

Uki tens pigwa tisa mijikenda gang gang

Tinga lock ukitoka WashaT na bado sijatema

Tepa

Nikicock unaokoka Nilituma pin ngurue zikahepa

Mekatilili nikibonga Master I gat De keys take notes man

Culture ka si roots nipe doba

Rasta Ka si nduks nipe gomba

Dasta ka ni drip Shika mopa

Drinks Zi spendi maji nipe chopa

Sober ndio uradi hizo four barz

Mlevi anadhani nabonga ju ya 4 bars

Zima kaya nikiswali skiza hook ldd azizz

Dungu dungu kwea mpeleke aende kwao

Dungu dungu kwea peleka aende kwao

Dududungu dungu kwea peleka aende kwao

Dungu Dungu kwea peleka aende kwao

Duudungu dungu kwea peleka aende kwao

Dungu Dungu kwea peleka aende kwao

Tundu alinipea itabidi niende kwao

Nduru akipokea mduruma wangu hatoki nitoke

Kwa Hao

Ei On air si u parachute

Ali baba Ebu leta hizo karafu ei Sidai fridge nina barafu

Nina gang kongowea sio bara tu

Nina dem wa KiDigo Chonyi NaRibe Kambe giriama tu

Fake laughter machozi ya kitungu

Cheque balance zi ubounce ka kiguru eii

River Nile mijikenda Na ka ujui kenda inamanisha nine tribes

Nayabingi nikitema Uski Hii doba inanipatia cloud 9 vibes

Zima Nare nikisema Namba Nane kejani niko na nine wives

Usilale Ni mapema na Kazimeshika basi nipe hio high hive

Dungu dungu kwea mpeleke aende kwao

Dungu dungu kwea peleka aende kwao

Dududungu dungu kwea peleka aende kwao

Dungu Dungu kwea peleka aende kwao

Duudungu dungu kwea peleka aende kwao

Dungu Dungu kwea peleka aende kwao

Ohanga kidi

Ohanga Kidi

Ohanga Kidi

Ohanga Kidi

Jowi jowi

Jowi Jowi

Ohanga kidi

Ohanga Kidiee

Ohanga Kidi

Ohanga Kidi

Jowi jowi

Jowi GANG GANG