Released on October 26, 2022

Thumbnail

Tito Wagithomo

Pizzo de!


[Chorus: Tito Wagithomo]

Jaba ici, mwakinya mbele

Mútikariganirou ni makinya maria mwoire

Jaba ici, mwakinya mbele

Mútikariganirou ni miciri nyi mwaúmiri

Ngai na inyúi

Ngai na inyúi


[Verse 1: Octopizzo]

Don don, 8Town

Ayy, Toka namba nane hadi juu

Ikikuja grammar, Grammy proof

Nikicheki list mteja hapatikan'

Rada gani? Yeah oh no-no

Choreaga wale mabombo

Nimebeba udi gode yo

Pizzo ngori sana

Niko DC, Dallas na London

Ayy, son of two kings

Tukicheza Mashimoni hadi Lindi

Nikachafua maboyz na silipwi

Na ringworms, ngoto zote mashilingi

Ng'arisha kipindi


[Chorus: Tito Wagithomo]

Jaba ici, mwakinya mbele

Mútikariganirou ni makinya maria mwoire

Jaba ici, mwakinya mbele

Mútikariganirou ni miciri nyi mwaúmiri

Ngai na inyúi

Ngai na inyúi


[Verse 2: Octopizzo]

8Town! Hu-hu-hu

Nikishika manzi acha tu

Wawili wawili hapo tu

Kenye utadai, mi ndio niko nayo usigwaye

Jaber ma baby boo

Utakua chini ama juu?

Wherever you need I'ma do

Sema ntabuy hizo Gucci pants nizidare

Ayy, hii ni success hamwezi niaccess

Nakumbuka nikiseti coins kwa mattress

Stress, bank Chase nikupurchase

Sanchez mi ndio redeemer wa Manches'


[Chorus: Tito Wagithomo]

Jaba ici, mwakinya mbele

Mútikariganirou ni makinya maria mwoire

Jaba ici, mwakinya mbele

Mútikariganirou ni miciri nyi mwaúmiri

Ngai na inyúi

Ngai na inyúi


[Outro]

8Town

Ayy manze

Big shout out kwa kila msee manze mwenye anapaper chase

Ka uliomoka

Big shout out to Njuguna outside DC

Amos Odenyo outside DC

DJ JP (Ngai na inyúi)

Harry Kamau, Harry Kamau

Ngai na inyúi

Pizzo de!

All the best manze jo

Ngai na inyúi

Ngai na inyúi