Happy

By Obby Alpha

Thumbnail

[Intro]

Aiyo, aiyo

Oh-oh

Welcome to the music surgery

[Verse 1]

Kati ya wengi, niliowaona

Moyo wangu umekuchagua wewe

Kati ya wengi, niliowaona

Moyo wangu umekuchagua wewe

[Pre-Chorus]

Namshukuru Mungu sana kwa kunileta karibu yako (Ahe)

Asante baba na mama kwa kunitunzia kipenzi changu (Kipenzi)

Natamani niwe chanzo cha furaha yako (Ah, kipenzi)

Maana wewe ndio chanzo cha furaha yangu

Nafurahi tukiongozana, toka Monday to Sunday

Bila Mungu tusingewezana, tusingefika today (I am happy)

[Chorus]

Happy kwa yale Mungu aliyo nitendea (I am happy)

Happy, maana hii siku mi niliisubiria, yeah (I am happy)

I am happy for you, and for me (I am happy)

I am happy today, today and forever more

[Instrumental Break]

[Verse 2]

Ah, hey

Kama ni maua, ah

Yanamaanisha upendo

Haya hapa sweetie naomba uyapokee

Chunga usije kwenda mbali, ukaniachia pengo

Nami nafanya bidii, we usipotee

Kama ni maua, ah, yanamaanisha upendo

Haya hapa sweetie naomba uyapokee (Ahe)

[Pre-Chorus]

Namshukuru Mungu sana kwa kunilеta karibu yako (Ahe)

Asante baba na mama kwa kunitunzia kipenzi changu (Kipеnzi)

Natamani niwe chanzo cha furaha yako (Ah, kipenzi)

Maana wewe ndio chanzo cha furaha yangu

Nafurahi tukiongozana, toka Monday to Sunday

Bila Mungu tusingewezana, tusingefika today (I am happy)

[Chorus]

Happy kwa yale Mungu aliyo nitendea (I am happy)

Happy, maana hii siku mi niliisubiria (I am happy)

I am happy for you, and for me (I am happy)

I am happy today, today and forever more (I am happy today, today and forever)

[Outro]

(I am happy)

Happy kwa yale Mungu aliyo nitendea (I am happy)

Happy, maana hii siku mi niliisubiria (I am happy)

I am happy for you, and for me (I am happy)

I am happy today, today and forever more