Properly

By Nyashinski

Released on November 26, 2021

12K Views

Thumbnail

[Intro]

Hallo! (Cedo) Hallo!

Kama we ni mwenyeji (Mmmh mmh)

We ni mwenyeji (Hallo)

Kama we si mwenyeji (Mmmh mmh)

Mind your business


[Verse 1: Nyashinski]

Ka unataka ule anaichapa mpaka ilale

Basi harakisha njoo na

Nyumba inanukia shasha money

Usitume nini kwa floor na

Msupa ako mood ya ladha gane

Tunaeza enda fasta au slow baby

Naiva nikiskia ma Bob Marley

Nikitafta plan ya doh, yeah

Hatuanzishi vita tunamaliza

Nani ukiniita tuma mamita

Hao ma lip syncer wanawaingiza

Napanda stage ju naona miujiza

Originator, baba wa keja

Wananitii wananiiga

Nilikuwa nachoma mpaka kwa filter

Ka bado uko ushago, hallo

[Chorus: Nyashinski & Femi One]

Life iko order

Mpaka ukweli inasound unachocha

Vile naifanya sio hoja

Huku East si ni si tunazoza

Tunaifanyanga, proper (Proper)

Proper (Proper) Properly

Tunaifanyanga, proper (Proper)

Proper (Proper) Properly

Tunaifanyaga


[Verse 2: Femi One]

Sikudai number 2 wakanichuja daro

So nikajenga shule waje walipе karo

Sai mi ndio speaker Frank Ole Kaparo

Matutor zinapiga ki Usman Kamaru

Kwa fam ya kipunk sikutoka

So fam ya kipunk itatoka kwa mimi

Amini ni jasho na damu zinatoka

Nikiroga hii injili naitrеat kama dini

Sai madivai zinakuja na mzinga

Wananidai na ni juzi waliringa

Mungu aki-sign si unajua huwezi pinga

Odds ziko right mi sichezi na tinga

Okay! Ki Femi kijembe kikali

Bila budi inabidi wakubali

Watajali ujue nani hakujali

Hii maisha ni tamu naichase na makali

[Chorus: Nyashinski & Femi One]

Life iko order

Mpaka ukweli inasound unachocha

Vile naifanya sio hoja

Huku East si ni si tunazoza

Tunaifanyanga, proper (Proper)

Proper (Proper) Properly

Tunaifanyanga, proper (Proper)

Proper (Proper) Properly

Tunaifanyaga


[Verse 3: Nyashinski]

Guess nani ako in the zone (Aje)

Na anafeel right at home (Aje)

Utajua nilikuwa kwa chuom (Aje)

Na harufu ya cologne (Sare)

Na sijawahi kosaga form (Sare)

Last year niliuza ma phone (Sare)

Jana niliota naperform (Sare)

Na kabla ya kuota niliperform huh

Short na uli know kwa cliff

Kabla ujue mambo ya drone

Blunder imejaa na Keith

Nagrind ni ka na clone

Mkiuliza nana ni gwiji hapa

Mi naskianga ka mnanikosea heshima

Hamwezi nipima, hamwezi nizima

Na nimeingia naskia wananiambia?

[Chorus: Nyashinski & Femi One]

Life iko order

Mpaka ukweli inasound unachocha

Vile naifanya sio hoja

Huku East si ni si tunazoza

Tunaifanyanga, proper (Proper)

Proper (Proper) Properly

Tunaifanyanga, proper (Proper)

Proper (Proper) Properly

Tunaifanyaga

Life iko order

Mpaka ukweli inasound unachocha

Vile naifanya sio hoja

Huku East si ni si tunazoza

Tunaifanyanga, proper (Proper)

Proper (Proper) Properly

Tunaifanyanga, proper (Proper)

Proper (Proper) Properly

Tunaifanyaga