Crazy(remix)

By NONINI

Thumbnail

Intro(Bamzi)

Roba we’re killing it this year man

Remix

6mcs 8 bars each

Abbas kubaff, Daz, Vee Eye Cee, Chiwawa

Nonini Bamzigi

Crazy the remix 2007

The gorillas come out at night

You better hide your daughters

Hide your jewellery

Its hot, what

Verse 1 (Bamzi)

Toka ridgeways kijikani mi ni bamzi mi ni

Naroga mnachizi hamnifeel mi ni

Nikiwa na Daz msee VIC twaja

Tuki-rap na the man Bamzi kwa bar

We rip mics so absurd

We get in ya if you sure I'm the man by far

Ukizusha naruka nakupiga ngeta

Bamzi signing off man catch you later

(Vee Eye Cee)

Nikiwa mtoi nilitumia always badala ya nappy

Siku hizi mi huvuta kutoka mapua nikienda hepi

Kisha naenda interview ka nimevaa underwear

Ka TV niko na 21- inch under there

Mi sitadedi ntaenda hell straight na rocket

Usiku ukifika mi hulala ka nime-pocket

Mikono zangu ziko single, ready to mingle

Si ni ma-gorilla kwa bush ka

Chorus

Mnanita crazy crazy crazy

Mnaniita crazy na wee si daktari

Ukiniita crazy ntakundunga msumari

Ukiniita crazy crazy crazy

Ukiniita crazy

Verse 2

(Chiwawa)

Before ni pop unaeza niita alkaseltzer

Kabla ni-rap Fm stations zishani-censor

Story nataka nilipoteza

Nione Kadaga na Nebucadnezer

Na need ma-guns za laser

Nifanyie ma-haters wote ma-favour

Ka inaezekana possibly I think maybe

Tunaeza hookup hii Monday

Nikushow kenye uli-miss weekend

One time, two time kumejaa ma-tension

Mi ni fala mtaani naruka ledges ka benson

(Daz)

Usinichafue mi hufua nguo zangu zote na soda

Katikati ya miguu nimebeba anaconda

Ndio reason ma-mboch wenu wote wamekonda

Kama ni Sunday best mi sipendangi mangotha

Round hii natembea mtaani na rungu tatu

Moja mkononi hizo zingine mbili ndani ya boxer

Just handlethe cup vile ule msee hukula Ugali

Bila kuvunja kidole toa ka kobole

Chorus

Mnanita crazy crazy crazy

Mnaniita crazy na wee si daktari

Ukiniita crazy ntakundunga msumari

Ukiniita crazy crazy crazy

Ukiniita crazy

Verse 3

(Abbass Kubaff)

Nishatupa mbao kibao

Naeza jaza lorry kumi na kuni za mbao

Ni how?

Flush vodo bottoms up, upside down

Utafika ukirudi position ya up right now

Uki-blackout inaitwangwa ku-pass out

Same thing ita happen ukipewa K-South

Hii ni Nairoberry kwa beat ya Roba

Kama hii ni gomba Abbass ni mogoka

Speaker zikibondekanga

Mi nakupa rap inayotoka

(Nonini)

Nikiwa mtoi nilikuwa sijai fungua napkin na Pili

Chupa yangu ya maziwa ilikuwa imeekewa mwarumbaini

Mathe alikuwa hajai nibeba na mgongo

Alikuwa ananieka kwa beta ati roundi ya mlolongo

No wonder na wander wander mtaanika bra

Kujibondabonda nikitafuta vitu za mra

Niliingia chemist nikanunua Cd ya kuna dawa

Tulishangaa lakini si manzi yako anaita Nonini dawa

Chorus

Mnanita crazy crazy crazy

Mnaniita crazy na wee si daktari

Ukiniita crazy ntakundunga msumari

Ukiniita crazy crazy crazy

Ukiniita crazy